Bora kadedishwa.....Huzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Uwe mkweliBariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Huyo kavuna alichopanda aiseHuzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Watu wengi makatili sana huwa Wana miili kiduchu, Kuna dogo Alikua anaitwa NOAH miaka ya 2000 mpaka 2005[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] kaduchuu
Waliosema za mwizi arobaini.......Huzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Huyo dada kaumia sana?Asante mkuu nimeona niujuze Uma kwani nilipita eneo la tukio
Wanaume wa DsmSi ajabu hata wakazi wa daslam ukonga wanaweza hata wasimjue ni nani?
Si wengine wa tungamalenga tutamjua?
Safi Sana nimefurahi SanaHuzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Anajua mastory mengi sana kuhusu hao watu,itakuwa ni mwanaharakat wa kutetea haki zaoCoca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????
Unapenda sn vita asee[emoji28][emoji28]
Kwahiyo mwizi anauawa halaf huzuni inatawala 🙄Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997
Apo kwenye gays alifanya vizuri angewachinja kabisa[emoji35][emoji35][emoji35] unakuaje gay yani kwa mfano yani utamu wote ule wa mbususu bado kuna mtu anakuwa gay?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uongo nisiseme matukio yake? Kwani mashoga ndo halali kufanyiwa matukio ya ujambazi? Lazima ukweli tuuseme kwa yale aliyo yafanya wakati wa uhai wake.
Majambazi wengi hawa vibaka konkii wa uswahilini, wanapenda sana kuwarubuni gays hasa waarabu na wahindi koko wanajua wana vitu vya thaman. Wao wanajifanya mabasha ili wawapate kirahisi, wamepora na kujeruhi sana gays.
Huyo alimpora bottom wa kiarabu, iphone 13 pro, wallet yenye pesa, SAA, cheni, had sandols, mtoto wa watu alitembea peku, hiyo yote kuogopa kuuliwa maana alimbonda kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ni vile gays hawana Pa kusemea. Na hawa majambazi na vibaka wanawapenda kweli si wanajua hakna kwa kushitaki.
Bora lilivyokufa, likampumzike sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh...Sawa mjukuu wangu mchoyo
Mkuu hapo banana nndi wanapokaa wakurya wote wanaouza mayai ya kivule.Hivi Dar kuna wanaume kweli!!!???
Huyo Kijana angefanya upumbavu wake huku Tarime kitambo sana mshamsahau.
Sasa yule si alikuwa kichaa? Lile kichaa la miraba 4 unaweza ukamfananisha na hako kachalii?Nakumbuka huo msala na aliebakwa alikua mmaza anaefanya kazi UN.