Kuna dogo juzi hapa niliona katika taarifa ya habari ITV kaja kuchukuliwa na sungusungu kwao kwa wazazi wake.Tatizo kubwa la Dar hivi vitoto tunavifuga wenyewe, wala hakuna sababu nyingine na tusiwalaumu Polisi.
Tuko nao mitaani na tunawajuwa na hatuchukui hatua stahiki kukomesha tabia hizi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]afu wako hapa wanajitapaSiyo hivyo tu kuna jamaa miaka ya nyuma alibaka mwanamke hadharani tena sokoni huko huko Chuga hadi akakojoa akasepa zake huku njemba za huko zinamuangalia ni polisi alijitokeza akam shoot wakati akikimbia ila njemba zilimkodolea macho jamaa akishusha wazungu hadharani
Mashoga utawaona! Wewe ni mmoja wao, bishaFunza zimeanza kukuwashsa eh? Jishindilie kijinga cha moto ujipooze.
Sasa huzuni inatawala vipi wakati alikuwa tishio kwa wananchi, mimi nilidhani ungesema furaha imetawala.Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997
... mwivi!Ndio nani?
Alazwe panapomsahili!... mwivi!
Yaani hiki kiumbe kweli ndio kilikuwa kinawasumbua hata kwenye kiganja hakijai! wakati naanza kusoma uzi huu nilidhani huyo Bariega ni pandikizi ya mtu, kumbe mtu mwenyewe kadhoofika kiafya!Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997
halafu mbaya zaidi kataja gays waarabu. ngoja watetezi wa dini waje, si unajua tena, ukigusa uarabu ni kama umegusa dini ya watu.
Kheeeeh sasa Dini inakukaje hapa? Nimesema ukweli mtupuuu.
aise! kweli watu wameamua.Ndio huyu Jana wamemchoma Moto hapa hapa Tabata Kinyerezi? Walikua Watatu kwenye pikipiki wakapora Ila yeye akashindwa kuwahi Kupanda boda ndio watu wakamvamia, akato panga kujitetea ndio ikawa kiama chake.View attachment 2279115
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Meno ya mbwa hayaumani mkuuHiki kijogoo kidogo namna hii kisumbue kwa muda mrefu bila wananchi kuchukuwa hatua?
Very detailed and well clarified hongera mkuuHuzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Asante mkuu nimeona niujuze Uma kwani nilipita eneo la tukioVery detailed and well clarified hongera mkuu
Mungu anatupenda!Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997