Una umri gani kwa sasaWakuu naombeni ushauri, kajua kametoka sasa shemeji yenu ananilazimisha nikaoge eti kisa keshachemsha maji. Me nimemwambia sijisikii kuoga maana sio lazima. Hapa tumekwazana kwa ajili ya hilo.
Eti jamani kuna haja ya kulazimishana kuoga wakati kila mtu na mwili wake halafu siku zenyewe ambazo sijaoga ni tatu yaani siku tatu tu.
Mmh...Arusha hakuna baridi kali ni ya kawaida tu
Baba arusha kuna hali ya hewa ya ubaridi baridi ila hakuna baridi, niamini Njombe ni habari nyingineMmh...
Mkuu unasem......
Arusha hakuna nini??
Nenda maeneo ya forest,Timbolo, lengijave,donyosambu, seliani ,ngaramtoni
Uoge asubuhi na mapema na maji baridi...
Utakuja kunishukuru....
Arusha hamna baridi kama ya Njombe, nimeishi kule Oldonyosambu nilikua natoa bangi kule napeleka Moro na Dar hali ya kule ni ya baridi sio baridi yenyewe hasa. Njoo Njombe uone baridi yenyewe.Mmh...
Mkuu unasem......
Arusha hakuna nini??
Nenda maeneo ya forest,Timbolo, lengijave,donyosambu, seliani ,ngaramtoni
Uoge asubuhi na mapema na maji baridi...
Utakuja kunishukuru....
Dingii chuga baridi hamna..Mmh...
Mkuu unasem......
Arusha hakuna nini??
Nenda maeneo ya forest,Timbolo, lengijave,donyosambu, seliani ,ngaramtoni
Uoge asubuhi na mapema na maji baridi...
Utakuja kunishukuru....
Ndo hvyo yan lakn siyo mbaya kila mtu na alivo zoea kwaoHiyo nimekutana nayo mkuu, kuna jamaa nilikutana nae Makambako nikawa nalalamika akasema hapa mbona joto baridi ipo huko makete kwao, jamaa mwingine akadakia akasema Makete mbona joto kule baridi ipo Isimani sijui wapi akasema.
Nikabaki mdomo wazi!
"NGONO YA HALI YA JUU" unamaanisha nini Mkuu? Wanapigana MITI muda wote tu?inachangia mshawasha kwa wanawake na kupelekea "ngono" ya hali ya juu na ndio sababu kuna UKIMWI sana huu mkoa na pia kuna mimba nyingi sana za watoto.
Onesha picha ya snow arushaPamoja na baridi hiyo sijawahi kusikia kuna snow, Arusha baridi ya kawaida ila tunapata snow
Sijawahi kupiga picha
Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.
View attachment 1821202Tumia maarifa kuikabiliana nayo la sivyooo...
YEs, Wanapiga show japo hawaan ufundi ila nje ndani sana."NGONO YA HALI YA JUU" unamaanisha nini Mkuu? Wanapigana MITI muda wote tu?
Masoko yote hususani yaliyoajiri walinzi ni kawaida Sana kufungwa saa kumi na mbili au saa mojaIla pia nimegundua huku watu wanafunga biashara mapema sana na wanachelewa kufungua, nikiwa makambako pale sokoni kwao nikaona mgambo wanapuliza filimbi saa 11 jioni eti watu wafunge biashara. Nilishangaa sana.
Ukiwa umeenda kwa malengo hata hao wanawake hutawaza.Hatupaswi kufikiria ngono kila wakati Njombe ni home na kila wakati narudi hua Sina hata muda wa kutafuta wanawake.the same nikiwa Arusha,mbeya,Moro,Moshi nk..piga kazi iliyokupeleka huko😊😊😊😊😊Huku niko na shemeji yenu nimetoka nae home kabisa, wanawake wa huku njombe siwataki kabisa.