Mpaka jana nilikuwa makambako sokoni ikifika saa 11 mgambo utadhani wanajeshi, wanafunga kama kuzunguka soko ukikutwa ndani ya soko fainiMpaka leo wanafanya hivyo? Nilijua huu ushamba wameacha mafinga pale unakutwa mnafukuzwa kabisa wanafunga kamba soko zima
Jana usiku nimelala chumbani nasikia wenyeji nje wanalalamikia baridi imezidi. Nikajiuliza kama wenyeji wanalalamika hivi mimi ni nani nijikaze na hii baridi.Mkuu nimekaa miaka sita nilikua mweupe pee ila nikageuka kuwa mweupe si mweupe black si black
Haizoeleki mkuu sasa ninachojiuliza mkuu mbona baridi ya huku inafanya uwe mweusi lakini ya ulaya unang'aa kama nn yanJana usiku nimelala chumbani nasikia wenyeji nje wanalalamikia baridi imezidi. Nikajiuliza kama wenyeji wanalalamika hivi mimi ni nani nijikaze na hii baridi.
Kawaida Sana huko, Tena Bora njombe , makambako unapga baridi ikiwa ndan ya kifungashio Cha upepo, ngoma inapenya kwenye mifupa hasa kutoka mizan Hadi green city hallJana nimepewa chai nikaipiga fasta, tangu asubuhi nahisi mdomo kama umeiva hivi
Ungejitia ushujaa na kuwaambia..."msifadhaike ndugu zangu.Tumeiweza korona nini baridi.Iweni na uvumilivu.Makoti,masweta na mashuka tupeni kuleee"...!Jana usiku nimelala chumbani nasikia wenyeji nje wanalalamikia baridi imezidi. Nikajiuliza kama wenyeji wanalalamika hivi mimi ni nani nijikaze na hii baridi.
Hata mafinga ni hivyo hivyo mkuu kuna mapato mengi wanapotezaMpaka jana nilikuwa makambako sokoni ikifika saa 11 mgambo utadhani wanajeshi, wanafunga kama kuzunguka soko ukikutwa ndani ya soko faini
Kuna vijiji vipo hko ukipitia ilembura Yan hakueleweki , mchana linawaka jua Kali Kama usangu na unababuka af usiku barid Kali ya makambako ....utaipendaHaizoeleki mkuu sasa ninachojiuliza mkuu mbona baridi ya huku inafanya uwe mweusi lakini ya ulaya unang'aa kama nn yan
Iringa njombe sijaskia visa vya corona toka imeanzaUngejitia ushujaa na kuwaambia..."msifadhaike ndugu zangu.Tumeiweza korona nini baridi.Iweni na uvumilivu.Makoti,masweta na mashuka tupeni kuleee"...!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ makambako kuna upepo mkali unatokea upande wa njombe ila nikiwa njombe upepo siusikii ina maana ile baridi ya njombe huwa inasukumiziwa makambako au!Kawaida Sana huko, Tena Bora njombe , makambako unapga baridi ikiwa ndan ya kifungashio Cha upepo, ngoma inapenya kwenye mifupa hasa kutoka mizan Hadi green city hall
Corona ni ugonjwa wa mabeberu.Iringa njombe sijaskia visa vya corona toka imeanza
Mafinga jua kali la saa saba lakini unavaa koti na mzura pamoja na groves na bado unaskia baridiKuna vijiji vipo hko ukipitia ilembura Yan hakueleweki , mchana linawaka jua Kali Kama usangu na unababuka af usiku barid Kali ya makambako ....utaipenda
In magufuli voice,,Corona ni ugonjwa wa mabeberu.
Jamaa alikuwa anatulisha chai kwa matembele.Mungu alimuona๐๐๐In magufuli voice,,
Upumbavu mkubwa kwa hyo polisi wao corona hawaogopi?Mwaka jana Makambako pale karibu na sokoni kuna nyumba ilizungushiwa utepe wakadai kuna mgonjwa wa corona so wameiweka nyumba lockdown ilikua inalindwa na askari police
BalaaMafinga jua kali la saa saba lakini unavaa koti na mzura pamoja na groves na bado unaskia baridi
Mkuu ntapata wapi muda wa kuongea nao ikiwa niko ndani ya blanket kubwa sana yaani ukitoa tu kichwa unahisi baridi hatariUngejitia ushujaa na kuwaambia..."msifadhaike ndugu zangu.Tumeiweza korona nini baridi.Iweni na uvumilivu.Makoti,masweta na mashuka tupeni kuleee"...!
Ungetumia fomyula ya Tigo mkuu.Kimoja tu cha asubuhi! It's a mere joke,boss!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu ntapata wapi muda wa kuongea nao ikiwa niko ndani ya blanket kubwa sana yaani ukitoa tu kichwa unahisi baridi hatari