Baridi ya Njombe

Baridi ya Njombe

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,582
Reaction score
23,572
Nipo Njombe kwa shughuli zangu binafsi na hii ndio hali ya hewa ya leo. Baridi kali 9°C asubuhi hii na usiku ndio ilikua kali zaidi.
Nawatakia siku njema waungwana.

Screenshot_20210617-072036_Weather.jpg
 
Dah huku acha wakae wenyeji hii baridi hapana. Nina siku ya tatu leo sijaoga wala sina mpango. Ntaenda kuoga hata iringa au ruaha mbuyuni
Haujapazoea tu.Kuna watoto kuanzia miaka mitano wapo saa hizi barabarani wanacheza tu na baiskeli zao za mbao zinaitwa "vibagadu"!Wako full shangwe!😂😂😂😂
 
Haujapazoea tu.Kuna watoto kuanzia miaka mitano wapo saa hizi barabarani wanacheza tu na baiskeli zao za mbao zinaitwa "vibagadu"!Wako full shangwe!😂😂😂😂
Bagadu sku hiz hazipo hata vijijin saana utaiona moja , Ila zilikuwaga mk enzi hizo watoto wa bushi walivokuwa wanaleta mkaa na kuni
 
Kama ni mzururaj usiku huwa inadrop Hadi tano,....huko makete na lupembe ni balaa had mimea huwa Ina kauka
Ila pia nimegundua huku watu wanafunga biashara mapema sana na wanachelewa kufungua, nikiwa makambako pale sokoni kwao nikaona mgambo wanapuliza filimbi saa 11 jioni eti watu wafunge biashara. Nilishangaa sana.
 
Back
Top Bottom