Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,505
- 2,192
Yan ni mwendo wa kueneza sera kwa wananchi mpka CCM na Jeshi lao wajinyee
Huo ujinga wako wa kuamini eti Chadema inaweza kushinda Uchaguzi Mkuu naomba usinihusishe tafadhali!Hebu mthubutu kuacha kuingiza kura bandia mjionee uhalisia halisi kabisa
Hatari na nusuMkuu Erythrocyte vipi petition inatembezwa lakini?
Na haiwezi kushinda kweli wala hudanganyi, kama kituo kina wapiga kura 600 walio jiandikisha na walio jitokeza kupiga kura kihalali kabisa ni 123 tu, lakini kura za wasimamizi walizo ambiwa wahakikishe zinaingizwa kwenye sanduku ni 450 ili ionekane wananchi wamajitokeza kwa 95% sasa unadhani CHADEMA Inashindaje kwenye mazingira kama hayo hapo we boya. Ndio maana ni mwendo wa mitutu, kuteka na kuua kwa kwendra mbereeeeHuo ujinga wako wa kuamini eti Chadema inaweza kushinda Uchaguzi Mkuu naomba usinihusishe tafadhali!
Matapeli wa kisiasaWale wanaohama kila siku ni akina nani?
Mbona CHADEMA kila uchao inazidi kuwa na wafuasi?
Hivi kweli hujui jibu la swali hili hadi sasa, au unajipa tu moyo!Labda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Hata wewe bado huamini?"Utafanyika UCHAFUZI sio UCHAGUZI.
Ole wake MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA!!Silahs yetu ni manati !Labda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Hujajibu swali. Lakini nakuvumilia.Hivi kweli hujui jibu la swali hili hadi sasa, au unajipa tu moyo!
Sasa mimi nakutuma kwa Samia, atakufafanulia kitakachotokea.
Na ninajuwa jinsi ulivyo, na hiyo GPA ya mchongo unayodai unayo. Utaanza kulalamika kwamba huelewi kilicho elezwa hapa.
Hovyo Kabisa.
Ahahahahaha! Hizo ndio akili za No Reform, No Election!Ole wake MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA!!Silahs yetu ni manati !
Utaelewa tuAhahahahaha! Hizo ndio akili za No Reform, No Election!