kamituga
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 1,195
- 1,937
Ayo Matatizo ni ya muda tu yataisha huko mi simushauri km ukoo ni mkubwa anahitaji kuupunguza freshAnhahahahahhah
Ayo Matatizo ni ya muda tu yataisha huko mi simushauri km ukoo ni mkubwa anahitaji kuupunguza freshAnhahahahahhah
Kwani wakuu GAMBOSHI ndio wapi?Kaa utulie utamaliza watu kwenye ukoo bariadi ndio kwao na makafara kwa ukanda wa ziwa utajikuta úkoo mzima umebaki peke yako watu wote umemalizia Gamboshi.
Bariadi huko ni ngome ya wachawi ilio shindikana afrika mashariki na katiKwani wakuu GAMBOSHI ndio wapi?
Duh! Hebu toeni A,B,C za huko tupate elimu jamaniBariadi huko ni ngome ya wachawi ilio shindikana afrika mashariki na kati
Hance Mtanashati umesahau kuwa mwaka huu na mwakani kuna chaguzi. itakuwa huyu anataka kugombea/kuwania nafasi fulani hivyo anataka mizimu ya kiafrika imsimamie!!!Wamekufanyaje mkuu mpaka unataka ukaloge?
Anaitwa Yesu Krisu
Yesu Kristoyesu kristu
Hayaja kukuta bado!Nauliza tu hivi kweli mganga anaweza kukutatulia matatizo yako, au anakupa ushauari tu?. Nauliza hivi kwasababu sijawahi kufika kwa mganga na sina nia ya kwenda kwa mganga.
Nangatukaa [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
sisi wakatoliki tunaita kristuYesu Kristo
TEC wamesahihisha, na kama kweli wewe ni katoliki jitahidi sana kufuatilia hata mapadre wanajitahidi sana kutumia kristo badala ya kristu.sisi wakatoliki tunaita kristu
kristu, tumaini letuTEC wamesahihisha, na kama kweli wewe ni katoliki jitahidi sana kufuatilia hata mapadre wanajitahidi sana kutumia kristo badala ya kristu.
Hata kwenye sala ya kanuni ya imani, wanajitahidi sana kusema nasadiki kwa Yesu Kristo, ili waamini na sie tuelewe hayo mabadiliko
Sasa wanajitahidi kuseme, Kristooooooo ili watu wazoeeekristu, tumaini letu
wanabadili badili tu, wanazingua sana hata sala kikundi cha wachache kinabadiliSasa wanajitahidi kuseme, Kristooooooo ili watu wazoeee
TEC ndio wanabadili mkuu.wanabadili badili tu, wanazingua sana hata sala kikundi cha wachache kinabadili
Aha ha a uchawi unakuzwa kuliko uhalisia.Andrea/Andrew/Endru Chenge.