hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.
Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na nec na ccm 'results delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.
Nec na ccm wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao chadema imejitahidi kuutegua.
Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe baregu useme kitu au hasa hasa wame-target slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na chadema kwa ujumla.
Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya nec, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.
Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence ccm na nec watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.
Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na NEC na CCM 'result delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.
NEC na CCM wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua Chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao Chadema imejitahidi kuutegua.
Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe Baregu useme kitu au hasa hasa wame-target Slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na Chadema kwa ujumla.
Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya NEC, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.
Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence CCM na NEC watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.
Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................
na prof Majimarefu mjengoni!Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................
Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................
unatakiwa uveute hiv Dr Looooooooooooooooove PimbiHawa Dr nimewapenda, naongeza Dr love Pimbi
Chadema wanaweza kuomba kopi ya hukumu ile ya kura tatu tatu ikawa kama evidence moja wapo, ni wangapi wamefanya hivyo bila kukamatwa hiyo ni sababu tosha ya kuyakataa matokeo hata yote, coz we have nothing to lose. Kwa sababu ile ilikuwa si plan ya mtu mmoja ukifuatilia ni msururu wa wengi kwanza aliyempa fomu tatu naye alivunja sheria aliyoapa.Tunachosubiri ni kuwaumbua hao mafisadi,yule mtu aliyekamatwa Maswa amepewa karatasi tatu tatu za kupigia kura ie 3 za udiwani,3 za ubunge na 3 za urais.
My take:Ni vituo vingi sana kwa nchi nzima watu wamepiga kwa style hiyo.Na huo ndo uchakachuaji tunaousema!!!!
LOL:doh:Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................
Slaa(PhD) katutuliza mzuka kwenye facebook page yake manake wengine kuvumilia kulikuwa kunakaribia kikomo.
Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................