Barchelor of science in physics(college of natural science)

Izzo G

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
414
62
Kwa anayejua ajila za hii course anisaidie maana wengi wanadai ni ualimu tu. Je akuna option zingine maana me nimechaguliwa tu wakat siku apply so kama haina market naomba mnijuze ili niache kabisa kwenda chuo nifanye mambo yang mengne nisije nikapoteza tyme bure.
 
wazo zuri!! naomba nikujibu kama ifwatavyo......
-ni vyuo vingapi hapa tz vinatoa hiyo program(bsci in physics)??
-japo hujaichagua,je umeiridhia toka moyoni?? mkuu kuna tofaut kubwa sana kati ya market na kitu ulichorizika nacho(hasa toka moyoni)..inaweza ikawa na market ila usiwe umeiridhia toka moyon automatically utashindwa tu(hasa kwenye kazi! mfano wengi tunaenda ualimu sio kwamba tunapenda ila tunafwata BOOM!! sasa watu kama hawa shida wataiona kazini(kwenye kufundisha darasani)...
SASA HAPA NDUGU KAMA HUJARIDHIA TOKA MOYONI NAKUSHAURI KABADILI(KAMA IKIWEZEKANA) MAANA ITAKUTESA SANA BAADAE HASA WAKATI WA KUSOMA!
HAYA TWENDE UPANDE WAPILI.....
MTU KUSOMA BSCI IN PHYSICS sio lazima awe ticha(japo anaweza akipenda hasa level ya chuo..)kwa uelewa wangu japo mdogo anaweza fanya kazi za engineering hasa kwenye parts za electrical,research institutions haswa maswala ya energy...
nikuambie tu kitu,kamwe hutapoteza muda kwa kusoma hiyo program kama tu umerizika toka moyoni...jua watu wa hiyo program hapa bongo ni wachache mfano ni dr bilal,lazima itakua ina pay..
ABOVE ALL KUSOMA PHYSICS SIO LAZIMA UWE TICHA ILA UNAWEZA KAMA UKIPENDA....am stand here to be corrected...
nawasilisha!!!!
 
kusoma Physics si lazima uwe Mwalimu.Na kama unataka kuwa mwalimu Proffessional ukimaliza hiyo kozi unatakiwa ukasome Post graduate Diploma in Education.Sasa hivi Wizara ya Elimu ipo katika mchakato wa kuunda Teachers Proffessional board kama ilivyo bodi ya Wahandisi na kada nyingine.Mojawapo ya kazi ya bodi hii ni kusajili Walimu wenye taaluma ya Ualimu.Ukisoma Physics peke yake hutaweza kusajiliwa.Utapewa leseni ya kufundisha na Kamishna wa Elimu.Nakushauri usome kozi unayoitaka.
 
nashukuru ndugu wadau kwa michango yenu, kwa maelezo ya kina mliyonipa ntajitahidi kuisoma hii coz kwan huwez jua mungu kapanga nini mimi kupelekwa huku kwa mt mzoefu na hii course naomba maelezo kuhusu usomaji na utaratibu wake kwa ujumla ahsanteni
 
Unaweza kufanya kazi Tume ya mionzi, Idara ya hali ya hewa, Aviation, Kikosi cha anga na mizinga, mawasiliano, nk, usiogope
 
nashukuru ndugu wadau kwa michango yenu, kwa maelezo ya kina mliyonipa ntajitahidi kuisoma hii coz kwan huwez jua mungu kapanga nini mimi kupelekwa huku kwa mt mzoefu na hii course naomba maelezo kuhusu usomaji na utaratibu wake kwa ujumla ahsanteni

tuko pamoja ndugu!!usihofu twende kusoma!!!
 
Back
Top Bottom