Mou hakutoka, anajijua mdomo wake hauwezi kwa hivyo kamtoa msaidizi wake, Caranca.
Umeona hata hakunyanyuka benchi, pia hakusherehekea balo la Khedira.
Guardiola anashindwa kujenga timu endelevu! Amekuwa anawategemea wachezaji wale wale aliyoachiwa na Rijkaard ambao umri umefika ukingoni. Tangu achukue timu kasajili wachezaji wa hivi hivi tu
Mou hakutoka, anajijua mdomo wake hauwezi kwa hivyo kamtoa msaidizi wake, Caranca.
Umeona hata hakunyanyuka benchi, pia hakusherehekea balo la Khedira.
na hizo ni laana za ac milan kuvunjwa nguvu na chengine watashambulia sana J4 iliwashinde ndipo watakapo tolewa kwa kaunta na sasa hiv naona watu hawa waingizi ndani ya 18 kabisa maana kwa kubebwa ni noma..
what a score!!...
leo madrid kashinda gemu yake ya 87
leo madrid imeanza kufunga goli dk 17
leo madrid imapata goli la ushindi toka kwa # 7
leo madrid imeipita barca kwa point 7

naamini wenye shida za ndoa mko tayari kuja kwangu kuwatabiria maisha yenu ya baadae
game ilishachezwa kama nilivyosema matokeo hayo mapema nashangaa kwa nini watu wanahangaika duniani