Barcelona vs Arsenal

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Nimecome close kwa prediction niliofanya 3 hours ago. Nilipredict barcelona wangeshinda kwa bao mbili au zaidi na kutakua na red card. Nadhani nimefeli kwa asilimia ndogo
Tazama apa
 
Hapa ndo unaona wazi jinsi mpira wa Uingereza ilivyo bado mbichi mbele za timu za Spain, kuna gap kubwa sana!

Ujerumani naona nao wakali vilevile!
Yaah sanaa ya mpira ilionekana ni kama tyson na great muhammad ali mmoja alikuwa anakupiga na mashabiki wanapata ladha ya mchezo waqt mwingine yeye hata ngumi moja inamaliza game.
The great ali alikuwa ana entertain mashabiki na ushindi anapata tyson duh ndio hao wajeremani au waingereza wenyewe ushindi tu.
 
Ila usimu-underestimate mjeruman. Huyu ni mtu mwingine. Anaeza akakuzika ukiwa na 4 bila unaongoza aggregive, muulize huyu huyu arsenal anajua
 
Hakuna kama SPANISH LA LIGA,,,,,,,hakuna kama BARCA,,,,,,hakuna kama MESSI na hatatokea another player like him after the 10th century.. nani anabisha?
 
Ila usimu-underestimate mjeruman. Huyu ni mtu mwingine. Anaeza akakuzika ukiwa na 4 bila unaongoza aggregive, muulize huyu huyu arsenal anajua
Hakuna anae dharau jeremani ila tunazungumzia mfumo wao si watu wa kufurahisha wenyewe kukupa suckerpunch hawachelewi si watu wa kubembeleza ila hawana plan b tofauti na Barcelona ambao muda mwingi wanakuwa na mpira aidha wakupige counterattack au wakubembeleze kwa kupenyeza mpira huku wame relax kama wapo mazoezini.
 
Screenshot_2016-02-25-13-28-26-1.png
Screenshot_2016-02-25-13-28-44-1-1.png
Screenshot_2016-02-25-13-29-13-1.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom