Barcelona ni wa.ba.ya!

Barcelona ni wa.ba.ya!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Barcelona ilisubiri hadi dakika ya 53 kuanza kufuta mabao mawili ya Sevilla yaliyofungwa na Trochowski(dk 26) na Negredo(dk 51) na kuongeza moja. Hivyo,Barcelona wakaibuka na ushindi wa 3-2 nyumbani kwa Sevilla. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Fabregas aliyefunga mawili na David Villa. Manchester imeshindwa kufanya hivyo kwa Tottenham H...
 
Real Madrid ikiwa nyuma ya Barca kwa points 11 wanashuka dimbani leo...
 
Back
Top Bottom