Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

e21f33a4c9aecc8989a8e05689e6fb0e.jpg
jana messi aliwapigia simu ila ni ngumu sana barca kupita
 
Mbona wewe wali kutwanga 4 mechi kabla ya hiii

Na hujawahi wafunga kwao mwaka wa 4 huuu.??

Kwao wanakuwaga vzuri
ndiyo ujue Celta siyo timu ndogo, lakini jana tumeifunga 5 timu uliyotufunga nne na iliyowafurusha CDR. jtano utaona maajabu. nyie mkichomoka kwa Napoli nakununulia vocha ya 2,000. i have a hunch kwamba hamchomoki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom