mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Ni yule yule mtangaza njaa mtaa wa pili sio kama nimelewa matokeo ya jana hapana najua capabilities za Team yetu walioiita match of the year 2017 match ya jana Barca vs PSG hawajakosea it was Barcelona against all the odds of the World. Natoa pongezi na hongera kwa ushindi ambao sio umevunja tu record ila utakaa duniani miaka 200 ijayo .Adui wanajua kwanini Barca na wana aina gani ya wachezaji nikupe siri Barca ni moja ya team ambazo zinatisha sana kimbinu wanapocheza match ya uamuzi (decisive game)
Back to the topic wachezaji wa Barcelona kitu ambacho walikua wamekosa kuanzia mwanzo wa msimu ni motivation, tulipofungwa Parc des Princes goal 4 lilikua funzo kubwa sana ambalo lilituvuruga.Unapopata tatizo inategemea una respond vipi kwa kufanya ni challenge au ni tatizo kweli,hapa ndipo team nyingi zinafeli nadhani mmejionea kule Emirates
Barca tangu apate pigo wame respond postively kuanzia league na vikombe vya ndani tayari yuko fainal ya Copa de ley na league la liga anaongoza japo Madrid ana advantage ya match moja.
Spirit na energy ya Barcelona katikati ya mashindano hakuna team itaweza kuivunja imekuja muda sahihi insecurity imetujenga na itatujenga katika kila step tutakoyopitia season hii na imekua motisha kubwa sana yakurekebisha personal mistakes mchezoni ambayo imetu cost kiasi wakati wa match zilizopita .
Ili team yeyote kwenye football iwe perfect lazima iwe imepitia huko tulikopitia inawajenga wachezaji ki discipline pale unapopoteza match
Formation ya 3-4-3 ,individual brilliance ya wachezaji kama Neyma,Messi na Suarez (MSN) ,classical midfielders kama Basquets,Iniesta,Rakitic na substitution zake Arda Turan,Rafinha ,Dennis Suarez etc ,ukiangalia defenders kama Macherano Javier ,Pique ,Jord Alba ,Umtiti ,S Roberto.,Methieau na wengine wote wanaounda kikosi kama Lucas Digne,F. Alcacer na Andres Gomez ni kikosi kikubwa sana ambacho kinatosha kitaalamu kuipatia ushindi wa treble mitaa ya Catalunya
Umeshawahi kujiuliza Barcelona ni team kubwa kiasi gani? tupo nafasi ya kwanza laliga na tumeshaingia fainali ya copa de ley ila utasikia wapinzani wanasema team yenu mbovu.
Pia usisahau team ambayo imewahi kuchukua treble tangu kuumbwa kwa dunia hii ni Barcelona basi and the only one Barca
Treble ni mkusanyiko wa vikombe vya UEFA champion league,Laliga na Copa de Ley team inavichukua vyote kwa msimu mmoja mara ya mwisho kabisa tulichukua 2015
Mwisho maneno yangu sio sheria ,ila moto uliowashwa jana utaangamiza kila atakayefuata
mwisho wa msimu tuna ndoo tatu muhimu mark my word mwezi May sio mbali over