Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,726
Kuelekea match ya marudiano Camp Nou tarehe 08-03-17 ,pasipo na wingu la shaka Barcalona team kubwa kabisa duniani wanachokifanya wanakijua watashinda goal 6 kwenye ule uwanja ambao haulali na ngozi .
Dunia siku hiyo itatingishika Messi ataibuka na Hatrick ,Suarez atafunga goal mbili na Neyma atatupia moja na ku make MSN as usual
Team kama Barcelona hauhitaji calculations ngumu sana kupata hizo idadi za magoli 5 au 6 ili kuivukisha team stage nyingine ,hakuna option siku hiyo ni mbinu ya ushindi tu mazingira yameshaanza kutengenezwa kwa individual player na team kiujumla lengo kila mchezaji kuanzia kwenye midfielder Iniesta,Rakitic Ivan ,Basquets, Rafinha ,Arda Turan Dennis Suarez etc kwenye upande wa defence nani hatambui kama Braugrana ndio wenye defence inayofanya task ya ku defend na ku attack?Jordi Alba,Sergio Roberto,Macherano ,Umtiti (atakua fixed) ,Lucas Digne bila kumsahau handsome boy baba shakira
In short tayari maandalizi ya kisaikolojia na kimbinu yamesharekebishwa kama unabisha angalia performance yetu tangu turudi Paris
[HASHTAG]#IbelieveinBarca[/HASHTAG] together we can here we go....

NB Hili ndilo dimba Madrid alilala goal tano kwahiyo PSG kufungwa hakitakua kitu jipya
MSN kufunga sio tatizo shida ni muda gani tuta score goal zote 5 ndani ya dk 90
2a642f67799f8e7bdc75def3ec7781e6.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2017-02-21-23-58-32-1.png
    Screenshot_2017-02-21-23-58-32-1.png
    32.9 KB · Views: 90
Kila kitu kinawezekana ktk soka. Illa kwa akili za kibanadamu barca atatolewa. PSG ni timu nzuri sana japo hawaifiki Barca wakiwa katika kiwango. Barca walikosea mechi ya kwanza na wakaadhibiwa sana hawakuwa ktk form. Time will tell illa defence ya barca wataruhusu bao hapo ndio tatizo. Watashinda barca illa watatolewa navyodhani mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom