B Benno JF-Expert Member Joined Nov 21, 2009 Posts 332 Reaction score 51 May 30, 2011 #1 Hivyo ndivyo mambo yalivyo kuwepo dakika 90 za mchezo Hongera sana MAN U mdharau mwiba Mguu huota tende
Hivyo ndivyo mambo yalivyo kuwepo dakika 90 za mchezo Hongera sana MAN U mdharau mwiba Mguu huota tende
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 May 30, 2011 #2 Ee bana eeh!yaishe basi,mbona tunashangaa sana man u kufungwa,japo mi mshika mtutu lakini sipendi,tufunge mjadala kuhusu(man vs barca)
Ee bana eeh!yaishe basi,mbona tunashangaa sana man u kufungwa,japo mi mshika mtutu lakini sipendi,tufunge mjadala kuhusu(man vs barca)