MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 May 25, 2012 #1 Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era". Filimbi ya mwisho itatupa jibu.
Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era". Filimbi ya mwisho itatupa jibu.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 May 26, 2012 #2 Mpaka sasa Catalans wanaongoza goli tatu, game ni kama imekata.