Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
mtoa mada jina lako linatisha sana.......ukitoa hizo herufi W na E!!!!!!anyway nenda kameze kisu acha kutuletea siasa
Naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA,
Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu pale tulipowapiga Ac millan so ni changamoto kwetu hamna kulala na hatutafanya uzembe kama wa mechi ya mwanzo na Ac milan.Tumefanya hivo kwa kuimarisha safu ya ulinzi mzee Abidal ndani ya nyumba,bila kusahau tume sharp mashambulizi na kumuongeza D villa ambaye huwa anasaidiana moja kwa moja na THE KING of football MESSI pamoja na mentality ya wachezaji wetu ambapo tunaweza kusema barca wametoka "jando",kiutabili leo kwa sababu tupo out tutapiga 3 au 2 hivi kisha tunawasubiri next week tumalize game
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani 2-2 ugenini ushindi si wa barcelona?au acheni ushabiki qa kishamba!huo kwanza unafiki unasema zama zao zimeisha wakati La liga ndo wanaongoza!!,Uefa hii ndo mechi ya kwanza!!sasa nn hizo zama wewe ushawahi kutangaza kama ni za Barca?acheni ku quote kutoka maneno ya w.e.hu wenzenu nyie ,PSG wametoa draw mnashangilia sasa kushangilia kwenu nn kama sio ishara ya hofu!!tunawasubiria....Neo-camp pale uwanja unapomwagiwa maji n nyasi zinatereza KIHORO..........
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1. Hawana jipya wanacheza style moja tu na hawana ujanja wa kubadilika katikati ya mchezo, kwahiyo ukiwabana tu waweza jipigia MFANO mechi mbili za mwisho na Madridtupe japo sababu 3 za msingi
Acha ulimbukeni hizo ni spelling tu!!mpira wenyewe umeanza kushAngilia enzi za chelsea!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani 2-2 ugenini ushindi si wa barcelona?au acheni ushabiki qa kishamba!huo kwanza unafiki unasema zama zao zimeisha wakati La liga ndo wanaongoza!!,Uefa hii ndo mechi ya kwanza!!sasa nn hizo zama wewe ushawahi kutangaza kama ni za Barca?acheni ku quote kutoka maneno ya w.e.hu wenzenu nyie ,PSG wametoa draw mnashangilia sasa kushangilia kwenu nn kama sio ishara ya hofu!!tunawasubiria....Neo-camp pale uwanja unapomwagiwa maji n nyasi zinatereza KIHORO..........
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha kujitetea wewe, ulisema asiposhinda, sasa 2-2 ndio ameshinda? Ndio mkome kula viapo vilivyo nje ya uwezo wenu, kuna mwingine aliapa kumtoa mke wake usiku kucha, sasa hivi majamaa wanamfaidi mke wake. Mili nilitegemea sasa hivi usiwe unatype, sana sana uwe mochware au ICU2-2 ugenini ni ushindi?...
Kujifunza hakuitaji hasira na kashfa, kubali umekosea nimekusahihisha kesho usije ukakosea tena ukatutia aibu. Kujua nimeanza lini kushangilia mpira nafikiri halikuhusu sana, shughulikia hapo ulipokosea mkuu. Pamoja sana
1. Hawana jipya wanacheza style moja tu na hawana ujanja wa kubadilika katikati ya mchezo, kwahiyo ukiwabana tu waweza jipigia MFANO mechi mbili za mwisho na Madrid
2. Watupu sana kwenye kaunta attack, hawajui jinsi ya kukabiriana nazo kabisa na wala hawajui kutumia hii technique kama njia ya kufunga pia
3. mid-field yao sasa IMEANZA kuchoka hasa baada ya Xabi kutokuwa fit kwasababu tayari umri una mtupa mkono, Inesta hana pacha sahihi kama alivyokuwa Xabi, Bosquet na Pedro wanajishughulisha sana lakini hawana talent ya mpira kama Xabi, kwahiyo pengo hili lipo wazi kabisa
4. Kuchoka kwa mid-field kumeonesha sasa ubovu wa dhairi wa beki yao; beki ya Barca kwa muda mrefu sana ilikuwa inabebwa na viungo; Barca wanaweza fungwa wakati wowote ule kwani hawana Beki kwa sifa ya beki wale wote Alves, Pique, Mascrechno na hata alba ni aina ya wachezaji kama viungo na sio beki per se
NB: Sehemu ambayo Barcelona bado wapo vizuri ni washambuliaji, ambao nao wanawategemea sana viungo. NIMEMALIZA MKUU
mkuu umejitahidi kutoa sababu lakini na hivyo ndivyo walivyosema wenzako baada ac mila kumpiga barca 2-0 pale kwao milan na wee leo baada ya barca kurejeshewa goli dakika 94 ndio unaanza kuponda eti barca wamesha choka jee psg wakija camp nou wakila 4 kama ac milan utathubutu kusema tena maneno hayo au utasema barca wamependelewa hebu acha sababu zisizo na msingi man u juzi kapigwa 1 bila na chelsea jee tutasema man u beki zao zimesha choka man u kapigwa 2 kwa 1 na r madrid kwao old traford jee man u wamesha choka mimi nasema ni mpira tu na kwa siku ile man u walizidiwa na kwa upande wa barca mimi ukinambia tatizo kipa barca hawana hapo kidogo naweza kukubali mkuu ila usianze kuponda wachezaji wa barca hali ya kua ukija katika timu ya taifa basi utaona barca wanatoa zaidi ya wachezaji nane na hao uliowataja hapô kua eti wamechoka na ndio wanaowekwa first line up sina elimu kuhusu mpira ila naweza kukopi na ku paste1. Hawana jipya wanacheza style moja tu na hawana ujanja wa kubadilika katikati ya mchezo, kwahiyo ukiwabana tu waweza jipigia MFANO mechi mbili za mwisho na Madrid
2. Watupu sana kwenye kaunta attack, hawajui jinsi ya kukabiriana nazo kabisa na wala hawajui kutumia hii technique kama njia ya kufunga pia
3. mid-field yao sasa IMEANZA kuchoka hasa baada ya Xabi kutokuwa fit kwasababu tayari umri una mtupa mkono, Inesta hana pacha sahihi kama alivyokuwa Xabi, Bosquet na Pedro wanajishughulisha sana lakini hawana talent ya mpira kama Xabi, kwahiyo pengo hili lipo wazi kabisa
4. Kuchoka kwa mid-field kumeonesha sasa ubovu wa dhairi wa beki yao; beki ya Barca kwa muda mrefu sana ilikuwa inabebwa na viungo; Barca wanaweza fungwa wakati wowote ule kwani hawana Beki kwa sifa ya beki wale wote Alves, Pique, Mascrechno na hata alba ni aina ya wachezaji kama viungo na sio beki per se
NB: Sehemu ambayo Barcelona bado wapo vizuri ni washambuliaji, ambao nao wanawategemea sana viungo. NIMEMALIZA MKUU
mkuu umejitahidi kutoa sababu lakini na hivyo ndivyo walivyosema wenzako baada ac mila kumpiga barca 2-0 pale kwao milan na wee leo baada ya barca kurejeshewa goli dakika 94 ndio unaanza kuponda eti barca wamesha choka jee psg wakija camp nou wakila 4 kama ac milan utathubutu kusema tena maneno hayo au utasema barca wamependelewa hebu acha sababu zisizo na msingi man u juzi kapigwa 1 bila na chelsea jee tutasema man u beki zao zimesha choka man u kapigwa 2 kwa 1 na r madrid kwao old traford jee man u wamesha choka mimi nasema ni mpira tu na kwa siku ile man u walizidiwa na kwa upande wa barca mimi ukinambia tatizo kipa barca hawana hapo kidogo naweza kukubali mkuu ila usianze kuponda wachezaji wa barca hali ya kua ukija katika timu ya taifa basi utaona barca wanatoa zaidi ya wachezaji nane na hao uliowataja hapô kua eti wamechoka na ndio wanaowekwa first line up sina elimu kuhusu mpira ila naweza kukopi na ku paste
Anaitwa Xavi, sio Xabi....Xabi Alonso yuko na watalaam wa Real Madrid.
Lakini hii isiwe sababu ya mleta mada kutotia kisu kinywani.
La liga anaongoza nani,au ndo huyo XABI !!huo ushabiki PSG wenyewe wanajua watafanywa nini pale neo campMkuu, labda hujanielewa vizuri, nianze na msemo huu "SIMBA HATA AKIZEEKA HAWEZI KUWA MBWA" Barca inabaki kuwa Barca, timu kubwa na nzuri kupita timu nyingi tu; jana wacheza kamari hata washabiki wa PSG walibet kuwa Barca anashinda kutokana na timu na historia. lakini Barca wamapungua makali sio kama wale waliopiga Manchester United miaka mitatu iliyopita; ulikuwa ukikutana na Barca unahesabu magoli tu na sivinginevyo. Kingine mkuu hapa sisi ni mashabiki na Ushabiki umo; labda nideclare interest mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa Chelsea na Real Madrid. Na ni adui mkubwa sana wa Manchester United, na kidogo Barca. So kuna wakati lazima tuongee kama mashabiki na vilevile kama watu tunaoujua mpira pia. Nimemaliza mkuu...Inshallah
Anaitwa Xavi, sio Xabi....Xabi Alonso yuko na watalaam wa Real Madrid.
Lakini hii isiwe sababu ya mleta mada kutotia kisu kinywani.
jehu kumbe2-2 ugenini ni ushindi?mbna nyie mashabiki wa man U mlifurahia draw bernabeu na Madrid? Sasa kama ndo tunaimalizia pale Neo camp itakuwa easy tu kama kumsukuma mlevi ,I promise u tunapga 4 bila next week!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums