mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
Naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA,
Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu pale tulipowapiga Ac millan so ni changamoto kwetu hamna kulala na hatutafanya uzembe kama wa mechi ya mwanzo na Ac milan.Tumefanya hivo kwa kuimarisha safu ya ulinzi mzee Abidal ndani ya nyumba,bila kusahau tume sharp mashambulizi na kumuongeza D villa ambaye huwa anasaidiana moja kwa moja na THE KING of football MESSI pamoja na mentality ya wachezaji wetu ambapo tunaweza kusema barca wametoka "jando",kiutabili leo kwa sababu tupo out tutapiga 3 au 2 hivi kisha tunawasubiri next week tumalize game
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums