Barbershop ni kama madanguro

Napinga hapo kwenye ukimwi, mara nyingi huwa wanatembea na mikoba yenye Kondom
ukimwi utauchukua kwa mkeo ambaye anachukuliwa na Mangi kavukavu
 
Mkuu una experience kubwa bora umedadavua sisi wa koromije hatuyajui hapo kuanzia leo nitamwambia wife anipeleke salon naogopa sana hao wadudu
 
mkuu mbona mambo hayo haya ni kutii mmi kijana wenu au kwa kuwa naenda salon za 700
 
Kwahyo mkuu ushaenda kufanyiwa massage au bado ? Hizo ndio ajira zilizoongezwa mkuu.
Usiogope we nenda
 
Du!, uko vizur mkuu.
 
Uzuri wa JF kuna Ma Expert wa kila idara.[emoji106]
 
Wewe umewaza nje ya box..[emoji106]
 
Hili suala la kupokewa na wife kwa kweli mm huwa nasomaga kwenye mitandao tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio tatizo la ma bushmen, unatoka mikoani huko kama Mbeya, unaleta ushamba wako mjini, na unaanza kutangaza mitandaoni, bushman wee.. Acha kutuharibia utamu wetu wa mjini, lazima ww umetoka Mbeya itakuwa.
 
Mkuu una experience kubwa bora umedadavua sisi wa koromije hatuyajui hapo kuanzia leo nitamwambia wife anipeleke salon naogopa sana hao wadudu
Hio kali bor umwambie wife akufanyie tu
 
Kwahyo mkuu ushaenda kufanyiwa massage au bado ? Hizo ndio ajira zilizoongezwa mkuu.
Usiogope we nenda
Mkuu bdo sijaenda naogop san huku dar ukimw nje nje..bora angesem ananifanyia palepale anagalau
 
Ndio tatizo la ma bushmen, unatoka mikoani huko kama Mbeya, unaleta ushamba wako mjini, na unaanza kutangaza mitandaoni, bushman wee.. Acha kutuharibia utamu wetu wa mjini, lazima ww umetoka Mbeya itakuwa.
Sio mbeya.. chato[emoji2] [emoji2]
 
Hili suala la kupokewa na wife kwa kweli mm huwa nasomaga kwenye mitandao tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaaaaa.... nyakandula...
mwambie huyu mimi na mwambia yeye hataki "" mimi huwaga mpaka nikienda mikoni ndio najioneaga hayo mazingaombwe ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…