G
guest-1787677467
Guest
Tayari huku.
Hili nalo liangaliweKamfata mkude au?
Na huyo mdada akipewa ubosi tu ataanza kazi kwa kumfyeka Manara 😂🤣Yanga wamemchoka Manara
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.
Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
Mzee wa TetesiMkude ni shabiki lia lia wa Yanga