Hahaha..Kwa tabia za Manara ni wazi yeye ndiyo anapenda umaarufu zaidi kuliko hata huyo Babra.
Inamana jamaa kasomea kuongea tu , vingine hamna kitu[emoji41][emoji41][emoji41]Wanasimba mjiulize.. timu zinazoshindana na simba huko caf. zina vyeo ama roles kama za manara? Maana msiseme simba level zenu mazembe, mamelodi, al ahly huku hao wana tofauti kubwa na nyinyi kwenye vyeo..
Manara anajua hata kuandika proposal iliyonyooka kuhusu timu yake ili awashawishi puma ama umbro wafanye kazi na simba?
Inamana jamaa kasomea kuongea tu , vingine hamna kitu[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji851][emoji851][emoji851] Jamaa ajasoma kabisa hapa nacho kionaTimu kubwa africa hazina cheo cha msemaji zina cheo kinaitwa team public relations and marketing director.. huyo ndie anaongelea timu kwenye media meetings na kufanya majukumu mengine ya timu upande wa kuitangaza timu na deals nzuri
[emoji851][emoji851][emoji851] Jamaa ajasoma kabisa hapa nacho kiona
Kitu kile kile issue ni majina tuTimu kubwa africa hazina cheo cha msemaji zina cheo kinaitwa team public relations and marketing director.. huyo ndie anaongelea timu kwenye media meetings na kufanya majukumu mengine ya timu upande wa kuitangaza timu na deals nzuri
Yaani hapa muweke Manara hapa Barbraa..halafu ipigwe kura..mapema tu huyo dada anaomdoka.Manara ni mpuuzi na aondoke.
Hana busara,hana weledi,anaropoka ropoka tu vitu vinavyoathiri brands ya Simba...
Manara si ndiyo Yule mzungu aliyemtishia mwandishi wa Clouds, Yule anaongea sanaaaaaaaa utadhani tumboni kwake Kuna walokole wananena kwa lugha?Kwa tabia za Manara ni wazi yeye ndiyo anapenda umaarufu zaidi kuliko hata huyo Babra.
Ohoooo!!!Timu nzima IMEHONGWA KWA BARBARA
Senzo alikua na cheo gani kwani?mbona kama pumba hiziHuyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media..