mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
- Mbona mna kiu sana ya madaraka mpaka mko radhi kuingia mseto, si msubiri tu zamu ikifika wananchi watawachagua, mntaka kuua upinzani sasa mkishakuwa kama CUF mnakuwa sio Upinzani tena ati!, MSUBIRI TU HAMASISHENI WANANCHI KUNA SIKU ITAFIKA ILA KWA SASA BADO!
William.
- Sio lazima tuige kila kitu cha US na infact wao siasa sio uadui kama sisi, sasa ukiingia mseto tu maana yake sasa mnakuwa CUF, yaani dead! Tunahitaji upinzani ili kurekebisha mambo kama ilivyo sasa!
William.
Ray LaHood ni Republican na sasa ndiye Secretary of Transportation...kwenye utawala wa Barack Obama (Democrat)
Norman Mineta ni Democrat na alikuwa Secretary of Transportation kwenye baraza la mawaziri kipindi cha utawala wa Raisi George W. Bush (Republican) kuanzia 2001 hadi 2006...
William Cohen ni Republican na alikuwa Secretary of Defense kwenye kipindi cha utawala wa Raisi Bill Clinton (Democrat) kuanzia mwaka 1997 hadi 2001...
Hujanielewa hata chembe. Napinga kwa nguvu zangu zote kwa Chadema kuingia kwenye mseto na serikali ya kihuni ya Kikwete. Niseme mara ngapi? Kiu sana ya madaraka hapo iko wapi? Nisome taratibu.- Mbona mna kiu sana ya madaraka mpaka mko radhi kuingia mseto, si msubiri tu zamu ikifika wananchi watawachagua, mntaka kuua upinzani sasa mkishakuwa kama CUF mnakuwa sio Upinzani tena ati!, MSUBIRI TU HAMASISHENI WANANCHI KUNA SIKU ITAFIKA ILA KWA SASA BADO!
William.
Hujanielewa hata chembe. Napinga kwa nguvu zangu zote kwa Chadema kuingia kwenye mseto na serikali ya kihuni ya Kikwete. Niseme mara ngapi? Kiu sana ya madaraka hapo iko wapi? Nisome taratibu.
Kaka mbona we hukusubiri wakati wako wa kuingia EALA wakati unajua mama ako wa kambo na kibajaji hawapatanibna CCM(magamba)wenzako ? Au ndo funika kombe...'Kuwa na subira pia maana Kibajaj nae kakukalia mbaya, anasema aishindwa babu hata mjukuu haezi
Mimi nadhani tumwache Kikwete azame na meli yake. Nitasikitika na kushangaa kama Chadema watakubali kuingia kwenye serikali inayoongozwa na huyu jamaa.
Ray LaHood ni Republican na sasa ndiye Secretary of Transportation...kwenye utawala wa Barack Obama (Democrat) Norman Mineta ni Democrat na alikuwa Secretary of Transportation kwenye baraza la mawaziri kipindi cha utawala wa Raisi George W. Bush (Republican) kuanzia 2001 hadi 2006... William Cohen ni Republican na alikuwa Secretary of Defense kwenye kipindi cha utawala wa Raisi Bill Clinton (Democrat) kuanzia mwaka 1997 hadi 2001...
Kwa kuongezea Robert Gates ni republican lakini ni waziri wa ulinzi wa Obama.
Kwa kuongezea Robert Gates ni republican lakini ni waziri wa ulinzi wa Obama.
Mbona Obama alimpa Robert gates wakati ni wa republican umekaa USA lakini hujui kitu kazi kula cha meru tuu- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!
William.
Mbona Obama alimpa Robert gates wakati ni wa republican umekaa USA lakini hujui kitu kazi kula cha meru tuu
sasa wewe w j Malecela unafikiri mama yako atachaguliwa kuwa waziri? Mmezoea vyeo sana na wizi za Mali ya umma
Kaisome tena. Thread yangu ya kwanza kabisa nimepinga Chadema kuingia kwenye mseto na Kikwete. I said that from the beginning wewe unakuja eti tuna haraka gani. Next time soma thread ya mtu kwa umakini kabla ya kurukia jibu lisilo na mshiko. I oppose Chadema to join Kikwete in any coalition at any time and I have not flinched.- Hukusomeaka hivyo kwenye hoja yako, mwanzoni hukuwa na uhakika kama hutaki au unataka sasa unaeleweka, HOWEVER; hoja kwamba Serikali ya sasa ni ya kihuni sio tu kwamba ni misleading, bali inatushusha hadhi wananchi wote wa hili taifa kwamba ni wahuni Rais akiwa muhuni huchaguliwa na wananchi wahuni, samahani sana nimemchagua Rais wa sasa lakini mimi sio mhuni!
- Na wale wote wasiokubaliana na mawazo yenu ile awamu ya kwanza, sio wahuni ila ndio Demokrasia, inaelweka siasa zenu za chama kimoja, kwamba kila mwananchi lazima akubali yenu tu, hapana sasa tuna Rais anayejali mawazo ya wote, juzi ameambiwa mawaziri hawafai amekubali sio kuanza kwena kuongea na Wazee wa Dar-Es-Saalam!, na kudai Ukombozi wa Africa kwanza huku sisi wenyewe tunakufa na njaa!
William.
Mimi nadhani tumwache Kikwete azame na meli yake. Nitasikitika na kushangaa kama Chadema watakubali kuingia kwenye serikali inayoongozwa na huyu jamaa.
Hivi, ina maana gani mtu akisema "nitasikitika na kushangaa kama Chdema watakubali.." Je hiyo ni dalili ya kuharakisha? Siyo dalili ya mtu kutokubaliana na hoja zilizotolewa na mtoa mada kuhusu serikali ya mseto? Basi afadhali mimi ndiye nirudi shuleni nijifunze kujieleza kwa ufasaha zaidi, kwa sababu kama sieleweki kwa lugha rahisi kama hii....- Jasusi sijawahi kukurupuka hata siku moja haya ndio maneno yako ya kwanza, ninasema hivi kwa siasa za taifa, maana yake sio kukataa ila ni kuwa huna uhakika!
William.
Mimi nadhani tumwache Kikwete azame na meli yake. Nitasikitika na kushangaa kama Chadema watakubali kuingia kwenye serikali inayoongozwa na huyu jamaa.
This is what I said from the beginning. Thread number #10.