Baraza la watoto Tanzania lamfagilia Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la watoto Tanzania lamfagilia Dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 22, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  50% ya idadi ya watu Tanzania ni watoto - under 18. Watoto wanatuomba tumchague Dr. Slaa kuwa Rais wa Tanzania kwani agenda zao zimo kwenye Ilani ya uchaguzi ya Chadema - elimu bure mpaka form six. Kama leo hii nusu ya wahitimu wa darasa la saba hawajui kusoma na kuandika, basi baada ya muda mfupi Tanzania itakuwa ni taifa la wasiojua kusoma na kuandika au wajinga, na ujinga ni mtaji wa CCM! Jaji mstaafu Mfalila pia anaungana na Baraza hili la watoto na Dr. Slaa katika kuboresha elimu. Wanaotuomba ni wawakilishi wa watoto wetu ambao matatizo haya wanayaona na watoto always ni wasema ukweli (Mwananchi 22/09/2010) pia Caucus for children's rights Caucus for Children's Rights | News & Campaigns | Agenda ya Watoto

  Kwa uhakika wangepewa nafasi hawa watoto kuchagua Rais, chaguo lao lingekuwa Dr. Slaa!
   
Loading...