Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi na tib bank kukopesha wanavyuo.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi wakishirikiana na TIB Bank kukopesha wajasiriamali hususani wahitimu wa vyuo watakaofuzu mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa na Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi mkopo kwa vikundi mwisho mil 200 kwa mmojamoja mwisho mil 50. Vijana nafasi ndio hii. Hivi ofisi za Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi zipo wapi.?
 
Ziko kivukoni mkabala na jengo la Utumishi
 
Back
Top Bottom