Baraza la Mitihani SAFI: TUME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Mitihani SAFI: TUME

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Las Mas Bobos, Sep 13, 2012.

 1. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatimaye ile tume ya watu 9 iliyoundwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuchunguza malalamiko ya usahihishaji wa mitihani ya Islamic Knowledge imekabidhi taarifa yake leo.

  Akizungumza juu ya ripoti ya tume hiyo, naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema, tume imejiridhisha ya kuwa kukosewa kwa ujumlishaji wa matokeo ya somo la Islamic Knowledge hakukutokana na kukosa sifa kwa wasahihishaji bali ni mabadiliko katika mfumo wa ukokotoaji wa kompyuta kutoka ule wa kutumia wastani wa paper 3 hadi 2 na hivyo hakuna njama wala hujuma za makusudi zilizofanywa kwa upande wa usahihishaji.

  Tume ilijumuisha wajumbe kutoka Baraza la Mitihani, Usalama wa Taifa, Jumuiya ya ...Uislamu, Chuo kikuu cha DSM n.k

  Habari zaidi: ITV habari

  My take: Angalau sasa tumepata ukweli na ku- clear doubts. Otherwise kila kitu kingekuwa NDALICHAKO NDALICHAKO
   
Loading...