Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

shule za kiislamu kwanini zimeshika mkia
Nitajie shule ya kiislamu hapa.

Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang'ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja
 
Uuuwi nikisikia KIBAHA mwili unasisimka... nikisikia ILBORU nazidi kuchanganyikiwa... long live my schools..... Hahahaha.. ONCE SPECIAL ALWAYS SPECIAL watani zangu MZUMBE .... hahaha KILAKALA msalato pale kati ... ahaaaa na watoto wa Tabora galz... Special always... Nooo jembe lao KISIMIRI na THE HEADS OF TANZANIA... LONG LIVE
 
13692497_614690028699997_9214805569265439586_n.jpg
 
Habari Wana JF,

Haya watahiniwa mlitihaniwa 2016 jitazameni kama ni Elimu ya juu au diploma, matokeo yenu yapo hewani. Ila three nyingi hazitoenda chuo kikuu. Kwa maana mtu kapata DE, BE na kadhalika.
siyo kweli
 
Hii serikali ijaribu kutafakali kwa kina.Alama za mwaka huu zimebanwa sana.
2016/2017
A.80_100
B.70_79
C.60_69
D.50_59
E.40_49
Hapa ukiwa na CEE huendi chuo eti mpaka uwe na D mbili.

2014.
A.75_100.
B+.60_64
B.50_59
C.40_49
D.35_39
E.sikumbuki.
Hapa ukiwa na D mbili ulikuwa unaenda chuo

Before 2014
A.75_100
B.65_74
C.55_64
D.45_54
E.35_44
hapa ukiwa na E mbili ulikuwa unaenda chuo.

Bora serikali ingeweka kuja chuo uwe na div 2 kama zamani 2007 huko,lakini kuliko sasa sasa ivi wamewabana sana wanafunzi.
sio kweli
 
Matokeo ya Zanzibar yanasikitisha. Tunaomba Jecha afute matokeo na kuamrisha mtihani wa marudio.
 
Back
Top Bottom