Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

The History of Kisimiri Secondary School

Kisimiri Secondary school is the product of a collective initiative by the people of Kisimiri village. The local initiative later received a major impetus through a charitable donation from Prof. Emil Karafiat of Switzerland whose roots and earlier childhood life can be traced to this village located on the slopes of mount Meru in Ngarenanyuki ward, Meru district in Arusha Region-65 kilometres away from Arusha City.

Kisimiri Secondary School began on May 2002 with only forty students under Education coordinator Mr. A. Meena.

Kisimiri secondary school is a fully registered government school and it is a Co-education school teaching science and arts subjects. It offers two combinations which are HKL (History, Kiswahili and English Language) and PCM(Physics, Chemistry and Advanced Mathematics) for form five and six. The school consists of both day and boarding scholars; all of them have one study cycle from morning up to afternoon. All A ‘level students are boarding Scholars.
 
upload_2016-7-15_13-56-6.png
 
Pugu kinachowaangusha Kuna comb za kiume tyuu Bila hivyo ingekua ni moto wa kuotea mbali, shule zingine zinabebwa na H kunani
 
Nimefurahi sana kuona special schools zimerudi kwenye hadhi yake.. tabora girls hongereni sana wadogo zangu
 
Siri ya ushindi wa secondary ya Tandahimba, jumla ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 49, masomo waliyosoma na History, English. Kiswahili na General studies. Wadau kuongoza kwa shule hii ni technicalities walizoweka waalimu kukwepa masomo Fulani Fulani ambayo yangeleta failures nyingi au ni kawaida tu?
Kweli mkuu kwa shule km pugu ina comb Tatu tyuu ambazo ni EGM, PCM, na PCB hivi shule kama hii inawezaje kuingia top ten
 
Azania

CENTRE POSITION IN ITS
CATEGORY(REGIONWISE) 34/34

CENTRE POSITION IN ITS
CATEGORY(NATIONWISE) 415/423
 
Azania

CENTRE POSITION IN ITS
CATEGORY(REGIONWISE) 34/34

CENTRE POSITION IN ITS
CATEGORY(NATIONWISE) 415/423
SIO AZANIA TU KUNA
MILAMBO-342/432
PUGU -352/432
MINAKI-339/432
UMBWE-182/432
IDADI YA WANAFUNZI 300+ INAWEZA KUWA MOJA YA SABABU WAKATI KISIMIRI INAONGOZA IKIWA NA WANAFUNZI 50+ SHULE KUBWA KAMA TOSA,NDANDA,MINAKI ZINAKUFA DAH!
 
wakuu kijana wangu amepata economics c" geography d" advance mathematics f" anaweza kufanikiwa kwenda chuo naombeni majibu tafadhali
 
kwawale ambao matokeo yao hayakutoka kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutolipa hela ya mtihani wa taifa,nimeona wamewekewa *E *E na wengine wamewekewa *s *s nini maana Yake Na tofauti zake
 
Back
Top Bottom