wewe utapata uDC husitie shaka Ma'mkweMbona mimi simo, naona Mokoyo una ajenda ya siri, umenichakachua!!! Mwanamke ni nguzo ya taifa!!
kazi yako ni kusimamia kondoo zako,,,vinginevyo uikane nafsi yakoNaandaa maandamano nchi nzima kupinga kitendo cha mimi kuchakachuliwa!
kazi yako ni kusimamia kondoo zako,,,vinginevyo uikane nafsi yako
Tangaza rasmi kuvua kanzuNdo sababau kweli ya kukosa VX ama V8! Niwe hata naibu waziri wizara yeyote nitachunga hata huko kondoo
Jukwaa la Dini: Buchanan
Naibu: Malaria Sugu
NB: Baraza litaapishwa Ijumaa asubuhi - Mkuranga
Mokoyo ka kwaida yako umeleta mambo motomoto asante..
mi kote nimepapenda sana.
kwasoro hapo tu kwenye purple ndo umeniacha hoi lol
ur a great thinker .. Big Up:whoo:
hahahaha, afrodenzi, hiyo wizara ya buchanan na malaria sugu, ni ya kipekeeMokoyo ka kwaida yako umeleta mambo motomoto asante..
mi kote nimepapenda sana.
kwasoro hapo tu kwenye purple ndo umeniacha hoi lol
ur a great thinker .. Big Up:whoo:
afrodenzi yaonesha wewe ni mtaaluma wa malividavi, unatafutwa sana mdadahaaaaaaaaa alhamdulillah afro nimekupata mpenzi wangu nakuomba kidogo ukachungulie ile topik ya malavidavi mpenzi wangu utusaidie,, please i'm begging you..
afrodenzi yaonesha wewe ni mtaaluma wa malividavi, unatafutwa sana mdada
hili baraza lina baraka zote za wanajamii, ombi langu husisusie hotuba ya mkuu wa kaya mjengoniumetumia vigezo gani kuteua baraza hili , huu ni udikteta wala haujapata ridhaa ya wanajf ,wote uliowateua usiwaapishe mpk tuwaridhie kwanza
eti afrodenzi nimechanganya hapa? Nilham wacha hizo banandugu yangu umechanganya watu wawili tofauti angalia unachofanya au umetumwa na hashycool nini uje nichokoza???????
eti afrodenzi nimechanganya hapa? Nilham wacha hizo bana
Nilham, mimi sina siri, siri za nini kwani nafuga fisi? serikali ndio yenye siri banamh!!! mhh okey if i were me tanx,,, but keep ur head up 4 what u are thinking and wrete here usije ukaandika siri zako zote hapa na wife wako akajaziona...
Red: Mkulu na hekima yote wawekwa idara ya UDALALI?na huyo naibu duh...Jukwaa la Kimataifa: Field Marshall
Naibu: hakuna
Jukwaa la Siasa: Rev. Kishoka
Naibu: Kiranga
Jukwaa la Uchaguzi: Mzee Mwanakijiji
Naibu: Superman
Jukwaa la Jamii Intelligence: Invisible
Naibu: Gajin
Jukwaa la Economics: Eeka Mangi
Naibu: Zion Daughter
Jukwaa la Habari Mchanganyiko: Abdulhalim
Naibu: Bujibuji
Jukwaa la Jamii Photo: Mfunyukuzi
Naibu: Ndibalema
Jukwaa la Mahusiano na Mapenzi: MwanajamiiOne
Naibu1: Asprin
Naibu2: Nguli
Jukwaa la Michezo: Arsene Wenger
Naibu: Mbu
Jukwaa la Matangazo: PakaJimmy
Naibu: Preta
Jukwaa la JF Doctor: MziziMkavu
Naibu: Xpaster
Jukwaa la Sheria: Edmund
Naibu: FirstLady1
Jukwaa la Lugha: Companero
Naibu: hakuna
Jukwaa la Dini: Buchanan
Naibu: Malaria Sugu
Jukwaa la Elimu: Pasco
Jukwaa la Complaints: Kingi
Naibu: Mganyizi
Jukwaa la Wakubwa: Maria Roza
Naibu: Fidel80
NB: Baraza litaapishwa Ijumaa asubuhi - Mkuranga