Baraza la Mawaziri

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,564
Jukwaa la Kimataifa: Field Marshall
Naibu: hakuna
Jukwaa la Siasa: Rev. Kishoka
Naibu: Kiranga
Jukwaa la Uchaguzi: Mzee Mwanakijiji
Naibu: Superman
Jukwaa la Jamii Intelligence: Invisible
Naibu: Gajin
Jukwaa la Economics: Eeka Mangi
Naibu: Zion Daughter
Jukwaa la Habari Mchanganyiko: Abdulhalim
Naibu: Bujibuji
Jukwaa la Jamii Photo: Mfunyukuzi
Naibu: Ndibalema
Jukwaa la Mahusiano na Mapenzi: MwanajamiiOne
Naibu1: Asprin
Naibu2: Nguli
Jukwaa la Michezo: Arsene Wenger
Naibu: Mbu
Jukwaa la Matangazo: PakaJimmy
Naibu: Preta
Jukwaa la JF Doctor: MziziMkavu
Naibu: Xpaster
Jukwaa la Sheria: Edmund
Naibu: FirstLady1
Jukwaa la Lugha: Companero
Naibu: hakuna
Jukwaa la Dini: Buchanan
Naibu: Malaria Sugu
Jukwaa la Elimu: Pasco
Jukwaa la Complaints: Kingi
Naibu: Mganyizi
Jukwaa la Wakubwa: Maria Roza
Naibu: Fidel80

NB: Baraza litaapishwa Ijumaa asubuhi - Mkuranga
 
Mbona mimi simo, naona Mokoyo una ajenda ya siri, umenichakachua!!! Mwanamke ni nguzo ya taifa!!
 
Swali kwa waziri wa jukwaa la MMU
(a) Kwanini kumekuwa na ongezeko la wanajamii wanaotafuta wachumba?
(b) Je mpaka sasa ni ndoa ngapi zimeshafungwa kutokana na haya maombi?
 
Naandaa maandamano nchi nzima kupinga kitendo cha mimi kuchakachuliwa!
 
Jukwaa la Dini: Buchanan
Naibu: Malaria Sugu

NB: Baraza litaapishwa Ijumaa asubuhi - Mkuranga

Mokoyo ka kwaida yako umeleta mambo motomoto asante..
mi kote nimepapenda sana.
kwasoro hapo tu kwenye purple ndo umeniacha hoi lol

ur a great thinker .. Big Up:whoo:
 
haaaaaaaaa alhamdulillah afro nimekupata mpenzi wangu nakuomba kidogo ukachungulie ile topik ya malavidavi mpenzi wangu utusaidie,, please i'm begging you..

hahahaha, afrodenzi, hiyo wizara ya buchanan na malaria sugu, ni ya kipekee
 
haaaaaaaaa alhamdulillah afro nimekupata mpenzi wangu nakuomba kidogo ukachungulie ile topik ya malavidavi mpenzi wangu utusaidie,, please i'm begging you..
afrodenzi yaonesha wewe ni mtaaluma wa malividavi, unatafutwa sana mdada
 
umetumia vigezo gani kuteua baraza hili , huu ni udikteta wala haujapata ridhaa ya wanajf ,wote uliowateua usiwaapishe mpk tuwaridhie kwanza
 
umetumia vigezo gani kuteua baraza hili , huu ni udikteta wala haujapata ridhaa ya wanajf ,wote uliowateua usiwaapishe mpk tuwaridhie kwanza
hili baraza lina baraka zote za wanajamii, ombi langu husisusie hotuba ya mkuu wa kaya mjengoni
 
mh!!! mhh okey if i were me tanx,,, but keep ur head up 4 what u are thinking and wrete here usije ukaandika siri zako zote hapa na wife wako akajaziona...
Nilham, mimi sina siri, siri za nini kwani nafuga fisi? serikali ndio yenye siri bana
 
Jukwaa la Kimataifa: Field Marshall
Naibu: hakuna
Jukwaa la Siasa: Rev. Kishoka
Naibu: Kiranga
Jukwaa la Uchaguzi: Mzee Mwanakijiji
Naibu: Superman
Jukwaa la Jamii Intelligence: Invisible
Naibu: Gajin
Jukwaa la Economics: Eeka Mangi
Naibu: Zion Daughter
Jukwaa la Habari Mchanganyiko: Abdulhalim
Naibu: Bujibuji
Jukwaa la Jamii Photo: Mfunyukuzi
Naibu: Ndibalema
Jukwaa la Mahusiano na Mapenzi: MwanajamiiOne
Naibu1: Asprin
Naibu2: Nguli
Jukwaa la Michezo: Arsene Wenger
Naibu: Mbu
Jukwaa la Matangazo: PakaJimmy
Naibu: Preta
Jukwaa la JF Doctor: MziziMkavu
Naibu: Xpaster
Jukwaa la Sheria: Edmund
Naibu: FirstLady1
Jukwaa la Lugha: Companero
Naibu: hakuna
Jukwaa la Dini: Buchanan
Naibu: Malaria Sugu
Jukwaa la Elimu: Pasco
Jukwaa la Complaints: Kingi
Naibu: Mganyizi
Jukwaa la Wakubwa: Maria Roza
Naibu: Fidel80

NB: Baraza litaapishwa Ijumaa asubuhi - Mkuranga
Red: Mkulu na hekima yote wawekwa idara ya UDALALI?na huyo naibu duh...
Blue:waziri analalamikia sama vi-bamia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom