Kwani Hilo ni Baraza jipya ? au ni Baraza za kujazia mapengo ya akina Kagasheki Nchimbi na wenzao ? au huenda ni Baraza la pangua pangua huyu nenda pale wewe njoo hapa nk ? Kama ikitokea ikawa hivyo Waziri Magufuri apelekwe kwenye michezo Nina uhakika Olympic wachezaji wataludi na medali hata Taifa star itacheza kombe la Dunia