Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 17, 2014 #1 Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Jan 17, 2014 #2 Kagoma nani kasema??? Ni wewe tu na kiherehere chako cha kutaka kujua. Ahhahahahahahhahah
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Jan 17, 2014 #3 Natamani asitangaze mpaka ipite miezi ili watu viroho viwe juu mpaka vishuke chini vyenyewe
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 17, 2014 Thread starter #4 kat.ph said: Kagoma nani kasema??? Ni wewe tu na kiherehere chako cha kutaka kujua. Ahhahahahahahhahah Click to expand... Mkuu Leo cku yagapi
kat.ph said: Kagoma nani kasema??? Ni wewe tu na kiherehere chako cha kutaka kujua. Ahhahahahahahhahah Click to expand... Mkuu Leo cku yagapi
Roho Mbaya JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 777 Reaction score 677 Jan 17, 2014 #5 Kwan nani kakutangazia
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Jan 17, 2014 #6 Mawaziri hawana kazi zaid ya propaganda tu kwa chama twawala!
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,692 Reaction score 14,079 Jan 17, 2014 #7 peter jaluo said: jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... si lazima taifa liwe na mawaziri makatibu wanatosha.......inabidi tutengeneze mifumo na mitazamo tofauti.......
peter jaluo said: jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... si lazima taifa liwe na mawaziri makatibu wanatosha.......inabidi tutengeneze mifumo na mitazamo tofauti.......
M muscat12 Member Joined Jun 21, 2013 Posts 33 Reaction score 1 Jan 17, 2014 #8 Nchi inasonga manaibu waziri makaitibu wakuu si wapo mikataba feki kama kawaida
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,065 Jan 17, 2014 #9 Hawana impact yoyote, hata bila ya wao kuwepo kazi inakwenda, wanaongeza gharama tu na kujikweza bila manufaa yoyote, makatibu wakuu wanatosha. Asitangaze.
Hawana impact yoyote, hata bila ya wao kuwepo kazi inakwenda, wanaongeza gharama tu na kujikweza bila manufaa yoyote, makatibu wakuu wanatosha. Asitangaze.
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Jan 17, 2014 #10 Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Vuta subira atatangaza wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 uwanja wa taifa, december 31 this ya
Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Vuta subira atatangaza wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 uwanja wa taifa, december 31 this ya
mdindile Member Joined Jan 6, 2014 Posts 55 Reaction score 4 Jan 17, 2014 #11 jamaa anajipanga haswaa siunajua hili ndo pindi lake la mwisho...sema hata achambue vipi ndani ya magamba mijusi wengi mno.
jamaa anajipanga haswaa siunajua hili ndo pindi lake la mwisho...sema hata achambue vipi ndani ya magamba mijusi wengi mno.
segwanga JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,788 Reaction score 731 Jan 17, 2014 #12 tz daima wameandika leo jk anatangaza kwa hiyo vuta subira huenda sa sita kasoro jk anaweza akapanda hewani
tz daima wameandika leo jk anatangaza kwa hiyo vuta subira huenda sa sita kasoro jk anaweza akapanda hewani
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,410 Reaction score 14,119 Jan 17, 2014 #13 Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Nji hii bila mawaziri inawezekana, kwani mpaka sasa tumewamissi?
Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Nji hii bila mawaziri inawezekana, kwani mpaka sasa tumewamissi?
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Jan 17, 2014 #14 If their presence cant add value to our lives, their absence will make no difference.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jan 17, 2014 #15 Prince Hope said: If their presence cant add value to our lives, their absence will make no difference. Click to expand... yeah I second you
Prince Hope said: If their presence cant add value to our lives, their absence will make no difference. Click to expand... yeah I second you
mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,462 Jan 17, 2014 #16 sijui na mimi atanichagua ,nimeshatoa kidogo cha wapambe kupeleka jina langu
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Jan 17, 2014 #17 Heaven on Earth said: yeah I second you Click to expand... I third you!
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jan 17, 2014 #18 Phenomenal said: I third you! Click to expand... hahahaa
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Jan 17, 2014 #19 Vumilieni jamani kidogo Sangoma wafaidi kwanza.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,059 Jan 17, 2014 #20 Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Sio tu hao watano, hata yeye mwenyewe akikaa pembeni!
Peter jaluo said: Jamani mkulu kagoma kutangaza baraza lake lamawaziri hii inaonyesha taswira gani je kumbe bila hao watano kwepo nchi inaweza kusonga mbele tu Click to expand... Sio tu hao watano, hata yeye mwenyewe akikaa pembeni!