Baraza la mawaziri na madini

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,241
Nauliza , hivi maamuzi ya kupunguza share za umiliki wa madini kama zilivyosomwa leo, baraza la mawaziri lilikuwa halishirikishwi? Si nasikia mambo makubwa kama hayo yanapita kwanza kwenye baraza la mawazili. Naomba kuelimishwa!
 
Back
Top Bottom