habari wadau wote wa jamii forum
napenda kutoa dukuduku langu moyoni,sijaona alichokifanya kipya huyu jk kumteua kwa mara nyingine tena huyu pinda.watanzania tumechoshwa kuona sura hizi kila siku zikijirudia,huyu chekibobu hatufai kabisa!kuna watu kama wakina magufuli, sitta, dr slaaa na wengine wengi tu,jk hajatumia busara yeyote
huu ni wizi mtupu!tena ufisadi