Baraza la mawaziri linaloifaa CCM ya Kikwete-Mapendekezo

kiloni

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
575
76
Ninaomba JK atii wito wake wa ndani ya mtima wake na aweka baraza litakalomsaidia.
Waziri Mkuu- Andrew Chenge
Waziri wa fedha: Edward Lowasa
Waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa_ Rostam Aziz
Jamani changieni.
"It is better to put a round peg on round hole"
 
Ninaomba JK atii wito wake wa ndani ya mtima wake na aweka baraza litakalomsaidia.
Waziri Mkuu- Andrew Chenge
Waziri wa fedha: Edward Lowasa
Waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa_ Rostam Aziz
Jamani changieni.



"It is better to put a round peg on round hole"

KAKA UNANICHEKESHAAAA WEEEE, ULINZI APEWE KOMBA

ALAFU MWAKYEMBE AWE WA NISHATI NA MADINI, KILANGO MALIASILI NA UTALII, MAGUFULI MIUNDO MBINU, SELELIIIIII, ahaaaaa ameshachakachuliwa maskini seleliiiiiiiiiiiiiiiiiii, seleliiiiiiiiiiiiiiiii
poaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, baba seleliiii na Sitta Mungu anaonaaa ataona
 
Maji marefu apewe uwaziri wa michezo ili awe anahanikiza unga mweupe taifa stars icheze world cup
 
habari wadau wote wa jamii forum
napenda kutoa dukuduku langu moyoni,sijaona alichokifanya kipya huyu jk kumteua kwa mara nyingine tena huyu pinda.watanzania tumechoshwa kuona sura hizi kila siku zikijirudia,huyu chekibobu hatufai kabisa!kuna watu kama wakina magufuli, sitta, dr slaaa na wengine wengi tu,jk hajatumia busara yeyote
huu ni wizi mtupu!tena ufisadi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom