wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote chadema na dr slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? Hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!
Nipeni maoni hapa jamani.
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!
Nipeni maoni hapa jamani.
Lafudhi kama MS vile.Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!
Nipeni maoni hapa jamani.
MMeshafanya uchaguzi wenu wa ndani sasa mnakuja kutuhadaa ili mjue tunajua nini.Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!
Nipeni maoni hapa jamani.
mambo yandani mrema Augustinon TLP, Uchumi LIPUMBA, BIASHARA VIWANDA CHEYO MAPESA , SHERIA MTIKILA, MAMBO YA NJE ZITO KABWE, WAZIRI MKUU MBOWE. WANAWAKE NA WATOTO ANA..TAMWA
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!
Nipeni maoni hapa jamani.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Freeman Mbowe (Mb-hai)...
In five years time uje uicheki Tz walai ata wale walio ughaibuni wataludi