Baraza la kata ya Mzimuni Magomeni limekithiri kwa Rushwa.

sinforosa

Member
Jul 28, 2011
32
19
Viongozi wahusika mpooooooooo ? Ikiwezekana libatilishwe na kuundwa baraza Lingine litakalokuwa kwa ajili ya wananchi wa kata ya Mzimuni na si kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na hasa wa wachama tawala na kuwanyima haki wananchi wengine kwa kuangalia itikadi na vyama na uwezo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…