Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Create Date: 5/28/2017 20:20
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA)WILAYA YA DODOMA MJINI
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
ZA SHUKRANI NA PONGEZI KWA VIONGOZI WOTE WA CHAMA WA TAIFA,KANDA ZOTE,MIKOA YOTE NA WILAYA ZOTE BAADA YA BARAZA KUU LA CHAMA DODOMA(27.Mei.2017)
-Pamoja na Salamu za Chama CHADEMA-VEMA...........
-Wilaya yetu ipo Kanda ya Kati(kanda ya kichama)ndiko sehemu ambako lilifanyika Baraza Kuu 2017,Tunamshukuru Mungu kwa Kumaliza salama kwakuwa Tulianza na Mungu na Tukamaliza na Mungu.
SHUKURANI zetu za dhati na PONGEZI kwa Chama.........
NGAZI YA TAIFA
1.Mwenyekiti Taifa
Makamu mwenyekiti bara
Makamu mwenyekiti Zanzibar
2.Katibu Mkuu
Naibu Katibu Mkuu Bara
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
3.Aliyekuwa Mgombea Urais wetu 2015 Edward Lowassa
4.Wajumbe wa Kamati Kuu Wote na Viongozi wa Makao Makuu wote.........
NGAZI YA KANDA
5.Viongozi wa Kanda zote wakiongozwa na Viongozi wa Kanda ya Kati
NGAZI YA MKOA
6.Viongozi wa Mikoa yote(Wenyeviti na Makatibu)wakiongozwa na Kiongozi wa Mkoa wa Dodoma
NGAZI YA WILAYA
7.Viongozi wa Wilaya Zote(wenyeviti na Makatibu)wakiongozwa na Viongozi wa Dodoma Mjini
8.Wabunge wote wanaotokana na CHADEMA(Wabunge wa Jamhuri ya Muungano na Waafrika Mashariki)
9.Mamea wote na Wenyeviti wa Halmashauri zetu za CHADEMA
SHUKURANI ZA UJUMLA
10.Wageni Waalikwa na Waandishi wa habari wote mliofika kwenye tukio hili.
-Baraza kuu halikuletwa Dodoma kwa bahati mbaya na tunauhakika kuwa limepanda MBEGU NJEMA IKO SIKU TUTAIVUNA,tumebaki na Morali ya hali ya juu kwenye kazi zetu za kujenga Chama na Taifa kwa Ujumla,nawakaribisha sana wote na Safari yetu ya Kuchukua Dola imeiva
-NB:-NENO LINAUMBA(yaliyonenwa yote kwaajili ya kujenga nayakaumbe kuanzia sasa)
Imetolewa na:-
MATHIAS RAYMOND NYAKAPALA
Katibu wa Wilaya ya Dodoma Mjini