Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 896
Kwa niaba ya waislam wote, kwani we Mufti wetu? Salamu za Idd kwenye jukwaa la siasa, watu wengine kama hawakwenda shule vile...Kwa niaba ya waislam wote
Kwa niaba ya waislam wote, kwani we Mufti wetu? Salamu za Idd kwenye jukwaa la siasa, watu wengine kama hawakwenda shule vile...
sio eid mubarakaNawatakia sikukuu njema wana jf wote, tujiepushe na vitendo viovu tusherehekee sikukuu kwa amani na familia zetu.EID MUBARAKA
Min al faidhina ukiona kimya ujue na mimi sina