Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Hi
Jana mh. Lowassa aliitakia ushindi timu yetu ya taifa kupitia taarifa ya habari ya ITV na hii leo tim yetu imefanikiwa kuigaragaza timu ya Malawi 2-0.
Huyu mh. anaonekana kuwa na baraka sana, shime watanzania tumpe kura..
Umeanza kulipenda Jambazi sugu ulipoambiwa na Mbowe ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kweli Edward Ngoyai Lowassa, ana Vijana wanaojua kuweka mambo sawa. Hongera Afande Fojuman.
Magamba watakuja hapa na kudai source.... Hii hapa chini
Raisi amewapa hamasa wachezaji, Magufuli angesema mkifungwa ndio hamna kazi tena.[/QUOTE
ahaaaaaaaa!
Hi
Jana mh. Lowassa aliitakia ushindi timu yetu ya taifa kupitia taarifa ya habari ya ITV na hii leo tim yetu imefanikiwa kuigaragaza timu ya Malawi 2-0.
Huyu mh. anaonekana kuwa na baraka sana, shime watanzania tumpe kura..
Sio yule ambaye akienda uwanjani timu inafungwe, ana gundu
Enyi wapumbavu na malofa, tuachieni michezo, msilete upuuzi wenu huku.