Baraka za kichaa.....nimebarikiwa sana leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraka za kichaa.....nimebarikiwa sana leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tutafika, Oct 31, 2011.

 1. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Basi leo ndani ya A - town, nimetoka katika hotel moja kupata lunch nikiwa nimeshika chupa ya maji mkononi. Baada ya kutembea kama hatua 100, nikakuta mama mmoja aneonekana kuwa kichaa wa siku nyingi amekaa pembeni ya barabara na furushi la vitu. Mara nikasikia yule mama ananiita ''..mwanangu, we mwanangu naomba hayo maji ninywe. kweli kabisa mi sijawahi kuiba kitu cha mtu...na maneno mengine kibao''

  Nikamuangalia kidogo nikakumbuka jana pale mjini Moshi nilikutana na kichaa mwanaume ana bonge la fimbo na akaja kwangu akiwa anafoka eti ''nikupige, nikupige..?'' nikajisemea ngoja niangalie kama na huyu ni wa aina ile ya jana!, Basi nikaona ni mpole nikamfuata kule alikokaa nikampa yale maji. Mama yule aliyapokea na kuanza kunimwagia baraka nyingi sana huku akichomoa Rozali yake shingoni. Yaani nimejisikia vizuri sana kupewa baraka na kichaa kwani nimehisi zimeandikwa mbinguni moja kwa moja!!


  Blessed is the hand that give.....Lucky Dube
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ulijuaje kama yeye ni kichaa?Ukichaa unapimwa kwa lipi?Hongera kwa kupata baraka
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kama ulitoa kwa dhat lakini.....
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hao vichaa mbona wamekuhusudu hivyo....?au wamedhani wewe mwenzao nini?....
   
 5. D

  Dopas JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Lakini baraka kwa kuombwa maji? Unapaswa kuona mahitaji ya watu na kusukumwa kusaidia kabla hujaombwa. Anyway, chunga hiyo baraka uliyopata. Isitokee upande wa pili kwa kiburi na majivuno.
   
 6. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Labda, wakitokea wengine wakafika 10 nitauliza wataalam wa saikolojia ya vichaa waniambie sababu inaweza kuwa ni nini.
   
 7. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Kweli, lakini si uliona yule wa kwanza kule moshi alivyotaka kunitandika mikwaju?, Sikua na lengo la majivuno ndugu yangu, nilitaka tu tujifunze wote (mimi na wewe) kwa hili.
   
 8. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Kwa kuona na kusikia (hasa maneno mengi yaliyofuata), au unataka source?
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  may be siku za karibu utakuwa mwenzao
   
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  the way ulivyowasilisha unaonesha na wewe ni kichaa
   
Loading...