Baraka Obama atuma wanajeshi 4000 AM-Ebola

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,350
Reaction score
15,067
Raisi wa Marekani Baraka Obama anatuma Wanajeshi 4000 huko Afrika ya Magharibi kwenda kupambana na ugonjwa wa Ebola, Uingereza nayo inatuma Wanajeshi 3000 pia huko AM kwa lengo hilo hilo la kupambana na Ebola, sasa swali la kujiuliza ni Je kuna uhusiano gani kati ya Jeshi na Ugonjwa wa Ebola?

Ijulikane kwamba wiki iliyopita Raisi Obama alikuwa na kikao cha kumshauri jinsi ya kudili na Ebola huko AM na waliohudhuria kikao hicho ni Wazriri wa Ulinzi Chuck Hagel, Mshauri wa masuala ya Ulinzi Bi.Susan Rice, Waziri wa Vita wa Marekani anayejulikana kama USA secretary of Veteran Affairs na hawa ndio waliohuduria huo Mkutano wa Obama wa ushauri wa jinsi ya kudili na Ugonjwa wa Ebola huko Afrika ya Magharibi, hakuna Waziri wa afya wala mtu wa hiyo wizara hiyo ambapo ilitegemewa kwamba kuwe na wawakilishi wengi ktk wizara ya Afya!

The Vice President
Chuck Hagel, Secretary of Defense
Jeh Johnson, Secretary of Homeland Security
Antony Blinken, Deputy National Security Advisor
Lisa Monaco, Assistant to the President for Homeland Security and Counterterrorism
Denis McDonough, Chief of Staff
Susan Rice, National Security Advisor

Benjamin Rhodes, Deputy National Security Advisor for Strategic Communications and Speechwriting
Jennifer Palmieri, Director of Communications
Anita Decker Breckenridge, Deputy Chief of Staff for Operations
Suzanne George, Executive Secretary and Chief of Staff of the National Security Council
Rand Beers, Deputy Assistant to the President for Homeland Security
Brian Egan, Deputy Counsel to the President
Colin Kahl, National Security Advisor to the Vice President

Ukiangalia hiyo orodha hapo juu utaona kwamba hamna watu wa Wizara ya afya ambao ndio walipaswa kuwa wahusika wakuu, vile vile
Kwa hali ya kawaida mtu ulitegemea Raisi Obama atume zaidi madaktari na watu wengine wa mambo ya Afya huko AM na sio Wanajeshi!
 
Marekani ni zaidi ya uijuavyo, wewe unafikiri wanaenda kutibu kumbe wao waenda ni mission nyingine kabisa
 
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.
 
hatusemi serikali hizi ni jinga, tunasema wana swala fiche kwa kufanya hivyo
 
kuna kamchezo kanataka kachezeke.kama hatuamini tufuatilie mwanzo hadi mwisho wa marekani dhidi ya kupambana na EBOLA.TUCHUNGUZE KWA MAKINI MEDIA ZOTE ULIMWENGUNI SIJAJUA MCHEZO GANI ILA KWA VILE TUPO INSHAALLAH TUWE MAKINI.WAKE UP I LOVE MY AFRICANS PEOPLE
 
Wamepata sababu ya kuweka military base...lol
Ukichanganya hii conspiracy theory kuwa gonjwa ni la kutengenezwa...akili kumkichwa...

Hii speed ya China in Afrika itatuumiza sana...

Sasa hivi nchi nyingi za Europe zinashindana kualika viongozi wa Afrika kwenye business meetings kama aliyofanya Obama...India nayo ndio hivyo kama si Ebola ilikuwa na same mission...viongozi wetu wenyewe akili zao wanazijua wenyewe...
 
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.

Nigeria ni nchi pekee iliyoweza kutokomeza kabisa janga hili la ebola. Lakini mbona wao sijasikia wametokomeza kwa kutumia hao wanajeshi? Km kweli nia ni kutokomeza ugonjwa kwanini wasiwasaidie AM kwa njia alizotumia Nigeria ?
 
Nakwambia tusubiri...na hizi nchi zote zina madini ni hatareeee
 
Illuminatti Style: "Create a problem and then Offer a Solution".

Wake up people, these reptilians want to enslave humanity, they unleash havoc to the populations until the populace submit to them for help. And when the help is offered it is accompanied with an agenda beneath, sometimes concealed, but sometimes open.

It seems they have entered a pact with the devil, to do his dirty work on earth in exchange to the world dominion.

In different parts of the world they have different stratergies, In some places they say to combat terrorism, in other parts to bring democracy, in other parts to offer vaccination.
 
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.

Hahaahhahaha.
 
Hao ni wanajeshi madaktari. Huweezi kupeleka madaktari waliozoea viyoyozi kwenda kutibu Ebola ktkt mazingira yale,. Ebola kule AM ikokatika mazingira magumu ambayo madaktari wenye wanajeshi ndio wanaweza kufanya mazingira hayo. Wenzetu wamejipanga
 
Umesoma wapi hio? Maana hata Marekani wenyewe hawajasema hivyo. Sasa ndugu, wewe hio umetoa wapi au umefikiria mwenyewe?

https://www.jamiiforums.com/international-forum/742654-truth-about-ebola-5.html#post10949553
 
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.
Na mimi nasema SIKUBALIANI NA MANENO ACHILIA MBALI MAWAZO YAKO!!! Kilichoifanya Marekani na washirika wake kupeleka jeshi huko ni mali hasa dhahabu na mafuta!! unaposema madaktari hawatakubali unamaanisha nini? unajua Cuba ma DR wangapi wamepelekwa AM? hili swala la kupeleka majeshi ma sio ma-DR kupambana kamwe haina logic yoyote!!
 
Nigeria ni nchi pekee iliyoweza kutokomeza kabisa janga hili la ebola. Lakini mbona wao sijasikia wametokomeza kwa kutumia hao wanajeshi? Km kweli nia ni kutokomeza ugonjwa kwanini wasiwasaidie AM kwa njia alizotumia Nigeria ?

Mbona Nigeria washapelekwa wanajeshi, umesahau wale wanajeshi waliyoenda kwa gia ya kuwatafu wale wasichana waliyotekwa na bokoharam!
 
Nana Kwame wrote:
People in the Western World need
to know what’s happening here in
West Africa. THEY ARE LYING!!! “Ebola” as a virus does NOT
Exist and is NOT “Spread”. The Red
Cross has brought a disease to 4 specific countries for 4 specific reasons and it is only contracted
by those who receive treatments
and injections from the Red Cross. That is why Liberians and
Nigerians have begun kicking the
Red Cross out of their countries and
reporting in the news the truth. Now
bear with me:

From Ghana: Ebola is not real and the only people who have gotten sick are those who got shots from the red cross » The Event Chronicle
 
Back
Top Bottom