ameshaeleweka .. hapa kwani tunafanya mtihani wa spellings?Nadhani anamaanisha "Global warming"
Visiwa vya Maldives teyari viko hatarini kutoweka kutokana na uyeyukaji wa barafu.Haya ma block ya barafu yanavyoyayuka kina cha maji baharini kinapanda, tayari wananchi wa visiwa vidogo vingi wanatafuta pa kuhamia kwani visiwa vyao vitakuwa chini ya maji katika miaka michache ijayo. Na miji iliyo pwani inakumbwa na uvamizi wa maji ya bahari.
asante Ivuga, nilikosea tu, M na N are so close on the keyboard as they are in pronunciation. Kingereza chenyewe sio luga yetu bana... lolameshaeleweka .. hapa kwani tunafanya mtihani wa spellings?
kingereza, luga?!!!!!!!!! Hivi ni vitu gani??asante Ivuga, nilikosea tu, M na N are so close on the keyboard as they are in pronunciation. Kingereza chenyewe sio luga yetu bana... lol
View attachment 34624
"An impressive iceberg arrived in Newfoundland's Goose Cove in mid-July. "Icebergs float in from Greenland,"said the photographer, Gene Patey. This one briefly blocked the town's harbor before breaking apart and melting, "but the fishermen took their chances."(Photo: Gene Patey)"
Source Yahoo
<br />It looks beautiful but inakumbusha mambo ya globo warming...