Barack Obama atoa msamaha kwa wafungwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
495396256-president-barack-obama-speaks-at-the-rutgers-university.jpg.CROP.promo-xlarge2.jpg


Katika siku yake ya mwisho madarakani, Rais Barack Obama amebatilisha vifungo vya wafungwa mia tatu na thelathini, wahalifu wengi wao wakiwa wa dawa za kulevya.

Mshauri wa Ikulu ya Marekani, Neil Eggleston, amesema kwamba mtazamo wa rais Obama ni kwamba kila mtu anahitaji kupewa nafasi nyingine ya kurekebisha maisha na makosa yake.

Katika siku yake ya mwisho madarakani, Rais Barack Obama amebatilisha vifungo vya wafungwa mia tatu na thelathini, wahalifu wengi wao wakiwa wa dawa za kulevya. Mshauri wa Ikulu ya Marekani, Neil Eggleston, amesema kwamba mtazamo wa rais Obama ni kwamba kila mtu anahitaji kupewa nafasi nyingine ya kurekebisha maisha na makosa yake.

Alisema ni idadi kubwa ya msamaha kwa wafungwa kuwahi kutolewa kwa siku moja.katika kipindi cha miaka nane ya uongozi wake, amefanikiwa kupunguza vifungo vya wafungwa elfu moja mia saba na kumi na watano kuwahi kutolewa na watangulizi wake nchini Marekani.

Chanzo: BBC
 
Obama angekuwa ni kiongozi wa afrika lazima angejiongezea muda.
kwasababu siku zote yeye ndio anajiona ndio yupo sahihi kuwa rais wa marekani.
 
Huyo Shoga aondoke aisee akapumuliwe vzr huko uraiani,anachosha sana na porojo zake hizo
 
Duh, ya mwisho mwisho raha ya madaraka! Nakumbuka mkwere nae alifanye teuzi mwishoni kabisa.
 
Nashangaa hapa watu wanamtusi President Obama wanadhani ni mtu wa hovyo. Nawaambia President Obama ni kiongozi makini tu....amewafanyia mengi Wamarekani na dunia kwa ujumla. Kumuita Obama wajina ya ajabu ni mitazamo ya chuki tu
 
Mtamkumbuka tu maana mlimlaani mkwere soft mkamuita legelege sasa mnamlilia ngoja trump awanyooshe muisome vizuri
 
Nashangaa hapa watu wanamtusi President Obama wanadhani ni mtu wa hovyo. Nawaambia President Obama ni kiongozi makini tu....amewafanyia mengi Wamarekani na dunia kwa ujumla. Kumuita Obama wajina ya ajabu ni mitazamo ya chuki tu
Obama amekufanyia nini wewe cha maana,tuanze na hilo.
 
Back
Top Bottom