Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

KotelaMamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
765
Reaction score
1,399
Namaanisha sheria za Barabarani,

Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.

Barabara ya Dar - Moshi.

Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale nimewaacha ila baada ya kama dakika 10, wakanipita kabla yakufika Mandera.

Nikaona ni kampani nzuri nikaunga nyuma yao, hawajali 50 kabisa.
Niliweza mwendo wao kwasababu Speed yao ilikuwa moderate sana 120kph-150kph .

Wao mbele mimi nyuma, hakuna Traffic anayewapiga mkono, vuka Kimange, vuka Mbwewe!

Tumevuka Mkata, mbele kabisa, naona Police amesogea road kabisa akawataka wale jamaa wapunguze mwendo, Kumbe lengo lilikuwa ni mimi, jamaa walivyopunguza mwendo traffic akafanikiwa akanisogeza pembeni! Washkaji wakaondoka zao.

Mitifuano ya kisheria ikaanza baina yangu na Police, kosa langu ilikuwa overspeed, wakati kuna wenzangu wao hilo haliwahusu kabisa.

Mkuu wa kituo waliponirudisha (ilibidi nipelekwe) akaniambia wenzio wana Immunity, sio kila kitu cha kuiga.

Nimelipa fine japo kwa tabu sana.

Nauliza hizi Immunity zinawaweka wengine juu ya sheria? Why
 
Usingesimama mdau.
Siku nyingine uache uoga.
Cc: Lamomy , RRONDO nyie wadau wa road trip.
Washaurini watu kuacha kuwa waoga. 😀
 
Namaanisha sheria za Barabarani,

Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.

Barabara ya Dar - Moshi.

Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale nimewaacha ila baada ya kama dakika 10, wakanipita kabla yakufika Mandera.

Nikaona ni kampani nzuri nikaunga nyuma yao, hawajali 50 kabisa.
Niliweza mwendo wao kwasababu Speed yao ilikuwa moderate sana 120kph-150kph .

Wao mbele mimi nyuma, hakuna Traffic anayewapiga mkono, vuka Kimange, vuka Mbwewe!

Tumevuka Mkata, mbele kabisa, naona Police amesogea road kabisa akawataka wale jamaa wapunguze mwendo, Kumbe lengo lilikuwa ni mimi, jamaa walivyopunguza mwendo traffic akafanikiwa akanisogeza pembeni! Washkaji wakaondoka zao.

Mitifuano ya kisheria ikaanza baina yangu na Police, kosa langu ilikuwa overspeed, wakati kuna wenzangu wao hilo haliwahusu kabisa.

Mkuu wa kituo waliponirudisha (ilibidi nipelekwe) akaniambia wenzio wana Immunity, sio kila kitu cha kuiga.

Nimelipa fine japo kwa tabu sana.

Nauliza hizi Immunity zinawaweka wengine juu ya sheria? Why
Punguza ujuaji, , Balozi ana hadi sawa na rais wa nchi yake anayowakalisha kwenye nchi iliyopo
 
bas ni seme gar zenye p no za kigeni nyingi hawazingatii sheria na hawachukuliwi hatu tofauti na zile za ndani..napo hujaelewa?
Wanapigwa fine fresh tu tena hizo ni zile za kulipa hapo hapo.
Marafiki zangu wa Kenya huwa wanakuja na magari yao huku na wanachapwa fine vizuri tu
 
Back
Top Bottom