K KVM JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,852 Reaction score 934 Jun 24, 2013 #1 Kwenye gazeti la The EastAfrican (The future shape of East Africa: What happens when the sleeping giant of Congo - News - www.theeastafrican.co.ke) kuna makala inayoelezea nafasi ya DRC kwenye kubadili uchumi wa Afrika Mashariki. Waandishi wameeleza mengi lakini wameshindwa kabisa kuvumilia kuwa huenda mizigo ya DRC itapitia Tanzania. Kwa hiyo ikabidi wapindishe njia ili ipitie Nairobi. Tazama ramani hapo chini. The EastAfrican ni moja kati ya magezeti yakipuuzi kabisa.
Kwenye gazeti la The EastAfrican (The future shape of East Africa: What happens when the sleeping giant of Congo - News - www.theeastafrican.co.ke) kuna makala inayoelezea nafasi ya DRC kwenye kubadili uchumi wa Afrika Mashariki. Waandishi wameeleza mengi lakini wameshindwa kabisa kuvumilia kuwa huenda mizigo ya DRC itapitia Tanzania. Kwa hiyo ikabidi wapindishe njia ili ipitie Nairobi. Tazama ramani hapo chini. The EastAfrican ni moja kati ya magezeti yakipuuzi kabisa.
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,601 Jun 24, 2013 #2 Mkuu hali halisi ya badandari yako unaifahamu vema? Kwa adha zilizopo kwenye bandari zetu ni vema hiyo route kuliko kupitishia kwenye bandari zetu
Mkuu hali halisi ya badandari yako unaifahamu vema? Kwa adha zilizopo kwenye bandari zetu ni vema hiyo route kuliko kupitishia kwenye bandari zetu
Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Jun 24, 2013 #3 Sijaona kosa hapo kwa kuwa miundo mbinu hiyo ipo wao wanachofanya ni kuongezea tu,anyway sidhani kama fursa za drc zitaisaidia tz .kwa mfumo huu tulionao sasa.
Sijaona kosa hapo kwa kuwa miundo mbinu hiyo ipo wao wanachofanya ni kuongezea tu,anyway sidhani kama fursa za drc zitaisaidia tz .kwa mfumo huu tulionao sasa.
K KVM JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,852 Reaction score 934 Jun 24, 2013 Thread starter #4 Kwa bahati mbaya bandari za DSM na Mombasa utendaji wake unafanana sana.