mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Jul 8, 2019 #1 Tunajenga barabara kwa garama za juu Lakini tukumbuke pia kuzifagia na kutoa mchango,barabara nyingi mchanga huachwa Mpk mchanga unafukiaa na kuficha lami kuonekana! Hii ni barabara ya tandale kwenda sinza mchanga ndy umeanza hivyoo Ova
Tunajenga barabara kwa garama za juu Lakini tukumbuke pia kuzifagia na kutoa mchango,barabara nyingi mchanga huachwa Mpk mchanga unafukiaa na kuficha lami kuonekana! Hii ni barabara ya tandale kwenda sinza mchanga ndy umeanza hivyoo Ova
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Jul 8, 2019 #2 Mkuu hiyo ni gari ya kwako? Unahimiza kutumza barabara tu
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 2,254 Reaction score 3,642 Jul 8, 2019 #3 Safisha gari yako kwanza
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,451 Jul 8, 2019 #4 Anza na hiyo gari kwanza mzee.
mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,901 Reaction score 5,053 Jul 8, 2019 #5 amewambia kwamba ni yake? au ameomba lift tu.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Jul 8, 2019 #6 Gari chafu Barabara Chafu
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,714 Reaction score 19,297 Jul 8, 2019 #7 Hiyo gari ukiwasha AC hakuna rangi utaacha kuona, hapo kwenye dash bod ndiyo mfuniko wa tank la petrol ulipo au macho yangu...
Hiyo gari ukiwasha AC hakuna rangi utaacha kuona, hapo kwenye dash bod ndiyo mfuniko wa tank la petrol ulipo au macho yangu...
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,195 Jul 8, 2019 #8 Mkuu halafu umepakizwa tu unasumbua, km ni lako gari shuka usafishe ww
Sadock Kabuko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 1,167 Reaction score 1,079 Jul 8, 2019 #9 Watanzania bwana unalalamika tu halafu ya kwako huyaoni safisha gari yako kwanza
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,171 Reaction score 6,148 Jul 8, 2019 #10 BONGOLALA said: Gari chafu Barabara Chafu Click to expand... Huyu hashindwi kusingizia hiyo barabara ndo imechafua hilo gari
BONGOLALA said: Gari chafu Barabara Chafu Click to expand... Huyu hashindwi kusingizia hiyo barabara ndo imechafua hilo gari
Hit Man 47 Member Joined Mar 29, 2019 Posts 62 Reaction score 85 Jul 8, 2019 #11 Hiyo gari sio chafuu tuu na ni chakavuu yaan mkweche
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Jul 8, 2019 Thread starter #12 Totos Boss said: Mkuu hiyo ni gari ya kwako? Unahimiza kutumza barabara tu Click to expand... Hii Gari ya kazi syo ya kibishoo Ova
Totos Boss said: Mkuu hiyo ni gari ya kwako? Unahimiza kutumza barabara tu Click to expand... Hii Gari ya kazi syo ya kibishoo Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Jul 8, 2019 Thread starter #13 BONGOLALA said: Gari chafu Barabara Chafu Click to expand... Huwezi kamata moto huu na vitz yko Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Jul 8, 2019 Thread starter #14 Hit Man 47 said: Hiyo gari sio chafuu tuu na ni chakavuu yaan mkweche Click to expand... Safari inayoenda yako haifuati Ova
Hit Man 47 said: Hiyo gari sio chafuu tuu na ni chakavuu yaan mkweche Click to expand... Safari inayoenda yako haifuati Ova