Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,725
- 21,107
Inasumbua asubuhi na mchana mkuu,!Tuko busy na Chato kwanza huko Dodoma inabidi msubiri kwanza......maendeleo hayana chama.
Sasa tunataka tuanze Karagwe comrade [emoji16][emoji16]Tuko busy na Chato kwanza huko Dodoma inabidi msubiri kwanza......maendeleo hayana chama.
Shida sio viwanja mkuu ni msongamano wa magari asubuhi,maana hii barabara ya Dodoma-Moro ni mpango wa zamani kabla ya jiji,sasa waongeze tarula au tanroad kuchepusha kwa kuelekea busi stand hasa kunapokuwa na misafaravya viongozi ni shida kama una mgonjwa wa haraka.Hama huko kisasa hapakufai njoo Kikuyu ,mkonze viwanja bwerere
Tatizo la wabongo hii umeisema utadhani iko hivyo mwaka utaisha mpo kwenye upembuzi yakinifu,mpaka uchaguzi2025,ndo mkandalasi anaanza!Kujituma kama wachina ni shida,watu kazi kukaa ofisini na kukinga mwisho wa mwezi.Muwe mnafuatilia mipango ya serikali maeneo yenu
Hapo Dom kuna mpango wa kujenga hiyo barabara kuwa njia 4 kutoka Dom to Moro
Pia ukiacha hiyo ni kwamba barabara kuu zote zinazoingia Dom kutoka Dar,Arusha,Singida na Iringa zitajengwa kwa njia 6 kwa umbali wa km 50 kila upande ko vuta subira ndio kwanza mwaka wa kwanza huu
Badobado Hadi foleni ziwe zinatumia angalau lisaa moja hivi ndio mtafikiriwa,,,,sa hv wapo bussy na chattle.Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.
Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.
Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!
kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.
Naomba kuwasilisha.
Ajali ni kila kukicha na shughuli zinakwama,Badobado Hadi foleni ziwe zinatumia angalau lisaa moja hivi ndio mtafikiriwa,,,,sa hv wapo bussy na chattle.
Wamelala wataamka kipindi cha kampeniTarura na Tanroad mpo!?
jinsi ya kufwatilia mipango ya serikali ktk maeneo unafanyaje?Muwe mnafuatilia mipango ya serikali maeneo yenu
Hapo Dom kuna mpango wa kujenga hiyo barabara kuwa njia 4 kutoka Dom to Moro
Pia ukiacha hiyo ni kwamba barabara kuu zote zinazoingia Dom kutoka Dar,Arusha,Singida na Iringa zitajengwa kwa njia 6 kwa umbali wa km 50 kila upande ko vuta subira ndio kwanza mwaka wa kwanza huu
Anhaaaa aseee bas endeleeni kuwasubiri wakuu wa nchi wawafikirie kuhusu hiloAjali ni kila kukicha na shughuli zinakwama,
Ile barabara haipiti week ni ajali.Shida sio viwanja mkuu ni msongamano wa magari asubuhi,maana hii barabara ya Dodoma-Moro ni mpango wa zamani kabla ya jiji,sasa waongeze tarula au tanroad kuchepusha kwa kuelekea busi stand hasa kunapokuwa na misafaravya viongozi ni shida kama una mgonjwa wa haraka.
Msilalamike mnapikokamuliwa mi fine na mi kodi ya hovyo hovyo!Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.
Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.
Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!
kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.
Naomba kuwasilisha.
Ndo tunapaza sauti zetu ,tusikike au sio ndugu?Msilalamike mnapikokamuliwa mi fine na mi kodi ya hovyo hovyo!
Unaishi kiterera Nini mkuu maana huko ndo hakuna msongamanoDodoma Kuna jam gani bwana wee[emoji2][emoji2][emoji2]