KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DustBin

JF-Expert Member
Jun 3, 2021
556
577
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...!


Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva wagome kuketa magari huku?? Au ndio chambo ya uchaguzi wa mwakani??
 
Kwanza inapaswa utoe shukrani kwa mama kwa kuwezesha barabara mbovu kutumika kupelekea kujua ubora wa magari yenu.

Pili, kwa sasa sirikali haina pesa za kutengenezea barabara, ipo busy kununua Land Cruisers mpya za wakuu wa mikoa ili waweze kupita vizuri kwenye barabara mbovu.

CCM oyeeeeeeeeeee.
 

Salamu za kipumbavu ndo maana hata barabara yenu haijaliwi. Sisi ambao hatuna hizo salamu barabara zetu zimenyooka vizuri tu.
 
Hhahahahh ila waliopewa mamlaka Kimanga kwenye ishu ya barabara wamejua kutunyosha
 
Kipande cha kuanzia pale darajani ukishuka mteremko ule wa tabata madukani, halafu chama, halafu kule shiba sijui hadi kufika pale mawenzjli, dah aiseee ni majanga matupu mzee. Barabara ni mbovu mbovu mbovu kupita maelezo na sijui shida huwa ni nini kwenye kile kipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…