Barabara ya ndani ya hifadhi ya Serengeti leo Dstv

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Kwa wenye dstv fuatilieni makala iliyoandaliwa ndani ya hifadhi ya serengeti madhara yatakayojitokeza endapo barabara inayotarajiwa kujengwa kukatiza ndani ya hifadhi hiyo itajengwa.Itarushwa channel namba 101 na 170 leo jpili saa moja usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom